Maajabu tuzo ligi kuu bara

Maajabu tuzo ligi kuu bara

Tatizo unaleta ushabiki wakijinga
Football refers to work of an art brother, How possible to Ngolo Kante to have an award for 3 UEFA competition match last season without good number of scoring and assists?
 
Sababu alikuwa na kiwango bora, sasa huyo feitoto alikuwa na kiwango bora alafu namba anayocheza feitoto naomba uniambie
 
Anyone van explain, Why Jorginho seemed to be one of the best mildifieder in nowdays world without good number of Goal assists and Goal scoring?
 
Wewe ni mpumbavu na ni mjinga jorginho kashinda euro na uefa

Luis katwaa ligi kuy na fa, Fei toto yeye kashinda kombe gani

Njoo kwenye magoli na assist Luis kamzidi feitoto
 
Feisal Salum used more than a half of the season as a defensive mildified and less of quarter as CAM

Do you the qualities of a good defensive mildified and to be names as better player than others?
 
We mjinga umeuliza kwanini jorginho anatajwa ni kiungo bora nikakwambia sababu kashinda euro na uefa

Luis kashinda Ligi kuu na FA kwanini fei toto atajwe bora zaidi yake?

Modric alibeba uefa na kufika fainali ya uefa, kante kabeba uefa na jorginho kabeba euro na hawakuwa na magoli wala assist nyingi, Sasa niambie kipi kinafanya feitoto atajwe kiungo bora?
 
Wewe ni mpumbavu na ni mjinga jorginho kashinda euro na uefa

Luis katwaa ligi kuy na fa, Fei toto yeye kashinda kombe gani

Njoo kwenye magoli na assist Luis kamzidi feitoto
Poor minded person with no any quality to discuss football but fans engaging is your place
 
We mjinga umeuliza kwanini jorginho snatajwa ni kiungo bora nikakwambia sababu kashinda euro na uefa

Luis kashinda Ligi kuu na FA kwanini fei toto atajwe bora zaidi yake?

Modric alibeba uefa na kufika fainali ya uefa, kante kabeba uefa na jorginho kabeba euro na hawakuwa na magoli wala assist nyingi, Sasa niambie kipi kinafanya feitoto atajwe kiungo bora?
Poor minded person with no any quality to discuss football but fans engaging is your place
 
Anyone van explain, Why Jorginho seemed to be one of the best mildifieder in nowdays world without good number of Goal assists and Goal scoring?
Aise kuna watu wamebeba madafu sio vichwa.

Hakuna anaesema Fei sio bora ila tunashangazwa kuwepo kwenye kinyang'anyiro wakati huo huo wakiachwa Luis M na Nado ambao walifanya vizuri kuliko Feisal katika msimu uliopita.

Ingekuwa ajabu Jorginho awepo kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa EPL kwa msimu wa 2020/2021 halafu asiwepo Bruno Fernandez.
 
Huyo hamna kitu sijui anaona akitype kiingereza ndo tutamuona mjuaji
 
Aise kuna watu wamebeba madafu sio vichwa.

Hakuna anaesema Fei sio bora ila tunashangazwa kuwepo kwenye kinyang'anyiro wakati huo huo wakiachwa Luis M na Nado ambao walifanya vizuri kuliko Feisal katika msimu uliopita.

Ingekuwa ajabu Jorginho awepo kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa EPL kwa msimu wa 2020/2021 halafu asiwepo Bruno Fernandez.
Another Empty minded person suffers to his own crazy line

Go and prepare your own award for those qualifies to be on your list
 
soka la ulaya unapata stress kwa kufungwa tu

soka la bongo sasa stress zinatoka÷
kwenye shirikisho
kwenye matokeo
viwanja
uchawi
rushwa
fitna
na uchambuzi wa mashabiki wasiojua hata wanachoshabikia

yani tafran
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
soka la ulaya unapata stress kwa kufungwa tu

soka la bongo sasa stress zinatoka÷
kwenye shirikisho
kwenye matokeo
viwanja
uchawi
rushwa
fitna
na uchambuzi wa mashabiki wasiojua hata wanachoshabikia

yani tafran
20211017_135021.jpg

Cheki mchambuzi kama huyo analalamika kiongozi wa Simba kwenda na team wakati team yake ya yanga walipeleka bongo muvi nigeria
 
Back
Top Bottom