Maajabu usiyoyajua kuhusu hii movie

Maajabu usiyoyajua kuhusu hii movie

Sidhani kama kuna movie amecheza Jason Statham akaharibu. Labda kwa uchache tu nitajie ipi ni mbovu

Beekeeper, Wrath of a man, Operation Fortune, F&F Hobbs and Shaw, The Expendables, Furious 7, 9, X zote hizo hajawahi kuharibu
 
Sema Jason Statham kafanya unyama Sana.
👉Nadhani Mwandishi kawa tunuku adhabu maadui, Ambayo mashabiki wali tamani kuoma.
 
hii movie ni ya action ila ina uongo mwingi, Jason Statham anawapiga CIA,FBI,POLICE+ASSASIN kibao kwa wakati mmoja.
ila ina storry nzuri
Lakini si umeona hata yule mzee mstaafu wa CIA (baba yake na yule dogo) baada ya kujua beekeeper mwenyewe ndiye yule yeye mwenyewe aliogopa
 
The Beekeeper inahusu kisasi cha Beekeeper aliyeacha kazi ya Beekeeping na kisha kuhamia kwenye beekeeping akifanya kazi kama beekeeper.

Kama umeshaitazama utanielewa.
 
Hadi mwaka Huu toka nianze kuangalia movie labda The night coming for us ndo inaweza kuizidiiii.. Bonge moja la dude
We komaaa we, Kuna hiyo Moja Kuna mbabu anabaka wanawake then anawauwa kikatili Kuna jamaa alikuja kumtembezea kichapo Cha paka mwizi unaweza uka pause ili umuombee jamaa msamaha, sema jina ndio nimesahau.
 
Katika pitapita zangU...leo kuna ofisi flani hivi nilienda kupata huduma!!!....

Kuna muda niliwasikia wafanya kazi wa ile ofisi . Katika mazungumzo yao ya hapa na pale....wakiitaja sana na kuisifia

Movie inayoitwa the

BEEKEEPER!!!!!

Kwamba ni " MUST WATCH"

kama mdau wa movie nzuri!!! Ningependa nipatie ukweli kutoka kwa mlio-itazama!

Eti ..Ni kweli...hii movie ina balaa lake??? Ama ni overrated???? Tu

Movie gani nyingine nzuri.. ya mwaka 2023/24
Ungenishaur niitafute!???
Sasa ulishindwa nini kwenda google na kuitafuta? Huo muda uliotumia kuandika humu ungeshapata taarifa za kutosha.
 
Back
Top Bottom