Maajabu usiyoyajua kuhusu hii movie

Sidhani kama kuna movie amecheza Jason Statham akaharibu. Labda kwa uchache tu nitajie ipi ni mbovu

Beekeeper, Wrath of a man, Operation Fortune, F&F Hobbs and Shaw, The Expendables, Furious 7, 9, X zote hizo hajawahi kuharibu
 
Sema Jason Statham kafanya unyama Sana.
👉Nadhani Mwandishi kawa tunuku adhabu maadui, Ambayo mashabiki wali tamani kuoma.
 
hii movie ni ya action ila ina uongo mwingi, Jason Statham anawapiga CIA,FBI,POLICE+ASSASIN kibao kwa wakati mmoja.
ila ina storry nzuri
Lakini si umeona hata yule mzee mstaafu wa CIA (baba yake na yule dogo) baada ya kujua beekeeper mwenyewe ndiye yule yeye mwenyewe aliogopa
 
The Beekeeper inahusu kisasi cha Beekeeper aliyeacha kazi ya Beekeeping na kisha kuhamia kwenye beekeeping akifanya kazi kama beekeeper.

Kama umeshaitazama utanielewa.
 
Hadi mwaka Huu toka nianze kuangalia movie labda The night coming for us ndo inaweza kuizidiiii.. Bonge moja la dude
We komaaa we, Kuna hiyo Moja Kuna mbabu anabaka wanawake then anawauwa kikatili Kuna jamaa alikuja kumtembezea kichapo Cha paka mwizi unaweza uka pause ili umuombee jamaa msamaha, sema jina ndio nimesahau.
 
Sasa ulishindwa nini kwenda google na kuitafuta? Huo muda uliotumia kuandika humu ungeshapata taarifa za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…