Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio (prosperity gospel). Wanawauzia watu hiyo ambayo ki ukweli ni INJILI NYINGINE kama anavyosema mtume Paulo na kujitajirisha kwa MAPATO YA AIBU.
Na kipindi kama hiki cha mwisho wa mwaka utawasikia huko kwenye utitiri wa redio zao mialiko ya kufungua malango ya mwaka mpya, kutakasa mwaka mpya, kufungua mafanikio mapya na ujingaujing mwingi wa kila aina. Yote hayo ni mtego tu wachukue pesa zako kwa udanganyifu wa kila aina wakitumia tafsiri potofu za maandiko matakatifu. They spiritualize every story and verse of the Bible just to lay a snare to trap you! Hadithi au aya fulani ya Biblia inaundiwa tasfsiri ya kukufanya uone inakutaka kutoa pesa kwa Mungu au usipofanya hivyo jambo baya litakupata au hutafanikiwa katika jambo fulani