Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kisha aende zake home.
Baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.
Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!
Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!
ha ha ha ha uchawi wa nyoka unaonekana maarufu sana mombasa but its good thing vijana wamezidi wizi i wish huyu mtaalam aje bongo tukomeshe wizi wa vifaa vya magari