Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Screenshot from 2017-09-06 10-29-36.png


Screenshot from 2017-09-06 10-29-51.png

Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kisha aende zake home.

Baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.

Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!

Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!
 
Hahaaaa shetan anawafuas wengi

sending using jamiiforum makinikia
 
Wangeniibia mimi, wangekoma[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] maana hayo mauno wangekuja kuyakata nyumbani kwangu tena ningewawekea SEBENE[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana na wakome, kenya kiboko aisee, kuna mwingine niliona anakula majani ka ng'ombe au mbuzi
 
Africa magonjwa yote ya akili yanaitwa uchawi.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom