moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
Spirit ni nini?Mkuu Huyu jamaa achana naye utapoteza nguvu zako bure.Hajui hata kwamba yeye mwenyewe ni spirit confined to his body.Nadhani he believes kwamba he is just another animal.He is just too far away removed from the truth.Huyu ni atheist aliyeiva kweli kweli.
Naeza sema hauna akili kwa sababu hakuna aliyewahi kuona akili yako...na ni kweli hauna akili wewe.Utajuaje kwa kungaliapicha tu?
Huoni kwamba unaweza kuchezewa movie la ki Nigeria chapchap?
Akili ni nini?Naeza sema hauna akili kwa sababu hakuna aliyewahi kuona akili yako...na ni kweli hauna akili wewe.
Wewe mwenyewe huezi eleza ulitokea wapi na kama unaamini ulievolve kutoka kwa nyani huezi eleza huyo nyani wa kwanza alitokea wapi.hiyo science yako haiezi elza what makes the heart bit..haiezi eleza kwanni watu wanareason.that's how complicated life is....you are free to believe what you want
Hata Wasadukayo walikuwa Wachawi1.Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamiinyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.
Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kiimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.
Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.
Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.
2.Kuwepo kwa matukio yanayoendana na imani ya kichawi na ambayo siyo ya kawaida Katika jamii: mfano; Angalia hii video
Akili niuwezo wa kuelewa mambo na kufanya uamuzi sahihiAkili ni nini?
Sasa mbona wewe huna uwezo hata wa kuandika "huwezi" unaandika "huezi" ,halafu unakuja hapa kuongelea habari ya akili?Akili niuwezo wa kuelewa mambo na kufanya uamuzi sahihi
Maswaliambayohuna uwezo wa kuyajibu hayawezi kuwa ya kipuuzi.Al-watan ni Aethists, wale wasioamini chochote na mda mwingi huuliza maswali ya kipuuzi
ayayayaya na wewe umepita huku [emoji85] [emoji85], ulifunga macho sio?Aisee. Badala ya kusikitika nimejikuta nawaonea huruma.
Ila wamepata funzo na kama wana akili hawatorudia tena mana kukaa uchi mbele ya umati sio jambo dogo
Sasa mbona wewe huna uwezo hata wa kuandika "huwezi" unaandika "huezi" ,halafu unakuja hapa kuongelea habari ya akili?
Wewe hujui hata herufi za Kiswahili,unaweza kuongelea habari za akili?
Wewe una dyslexia au nini?[
Aethist chai rangi wewe....get back to the discussion. Unashikilia makosa ya uandishi kama life line.kiswahili sio lugha yangu na tukifatilia hayo maswali yako ya kijinga...nani alikwambia inafaa kua huwezi na sio huezi?na vile unapenda kuhoji siungehoji herufi ni kitu gani ukitaka uonyeshwe uthibitisho....ukaamini tu alafu uku ñdio unajidai unatakq udhibitisho
Katika upuuz unaoweza kuufanya huku JF ni kubishana na huyo jamaa[
Aethist chai rangi wewe....get back to the discussion. Unashikilia makosa ya uandishi kama life line.kiswahili sio lugha yangu na tukifatilia hayo maswali yako ya kijinga...nani alikwambia inafaa kua huwezi na sio huezi?na vile unapenda kuhoji siungehoji herufi ni kitu gani ukitaka uonyeshwe uthibitisho....ukaamini tu alafu uku ñdio unajidai unatakq udhibitisho
Nimeona kwa mbali ki.....mia[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mshana jr njoo huku.