Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Hiyo dawa wailete kule Dar kwenye wizi wa vifaa vya magari
 
Mkuu Huyu jamaa achana naye utapoteza nguvu zako bure.Hajui hata kwamba yeye mwenyewe ni spirit confined to his body.Nadhani he believes kwamba he is just another animal.He is just too far away removed from the truth.Huyu ni atheist aliyeiva kweli kweli.
Spirit ni nini?

Unaweza kuthibitisha unachoandika au unajishebedua tu?
 
Utajuaje kwa kungaliapicha tu?

Huoni kwamba unaweza kuchezewa movie la ki Nigeria chapchap?
Naeza sema hauna akili kwa sababu hakuna aliyewahi kuona akili yako...na ni kweli hauna akili wewe.
Wewe mwenyewe huezi eleza ulitokea wapi na kama unaamini ulievolve kutoka kwa nyani huezi eleza huyo nyani wa kwanza alitokea wapi.hiyo science yako haiezi elza what makes the heart beat..haiezi eleza kwanni watu wanareason.that's how complicated life is....you are free to believe what you want
 
Naeza sema hauna akili kwa sababu hakuna aliyewahi kuona akili yako...na ni kweli hauna akili wewe.
Wewe mwenyewe huezi eleza ulitokea wapi na kama unaamini ulievolve kutoka kwa nyani huezi eleza huyo nyani wa kwanza alitokea wapi.hiyo science yako haiezi elza what makes the heart bit..haiezi eleza kwanni watu wanareason.that's how complicated life is....you are free to believe what you want
Akili ni nini?
 
Adhabu kali sana hii

May Allah bless Me and You
 
1.Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamiinyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kiimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.

Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.

Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.

2.Kuwepo kwa matukio yanayoendana na imani ya kichawi na ambayo siyo ya kawaida Katika jamii: mfano; Angalia hii video

Hata Wasadukayo walikuwa Wachawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al-watan ni Aethists, wale wasioamini chochote na mda mwingi huuliza maswali ya kipuuzi
 
Akili niuwezo wa kuelewa mambo na kufanya uamuzi sahihi
Sasa mbona wewe huna uwezo hata wa kuandika "huwezi" unaandika "huezi" ,halafu unakuja hapa kuongelea habari ya akili?

Wewe hujui hata herufi za Kiswahili,unaweza kuongelea habari za akili?
 
Al-watan ni Aethists, wale wasioamini chochote na mda mwingi huuliza maswali ya kipuuzi
Maswaliambayohuna uwezo wa kuyajibu hayawezi kuwa ya kipuuzi.

Wewe ndiye mpuuzi, tena usiye na utashi, kwa kufikiri ni ya kipuuzi.
 
Aisee. Badala ya kusikitika nimejikuta nawaonea huruma.

Ila wamepata funzo na kama wana akili hawatorudia tena mana kukaa uchi mbele ya umati sio jambo dogo
ayayayaya na wewe umepita huku [emoji85] [emoji85], ulifunga macho sio?
 
[
Sasa mbona wewe huna uwezo hata wa kuandika "huwezi" unaandika "huezi" ,halafu unakuja hapa kuongelea habari ya akili?

Wewe hujui hata herufi za Kiswahili,unaweza kuongelea habari za akili?

Aethist chai rangi wewe....get back to the discussion. Unashikilia makosa ya uandishi kama life line.kiswahili sio lugha yangu na tukifatilia hayo maswali yako ya kijinga...nani alikwambia inafaa kua huwezi na sio huezi?na vile unapenda kuhoji siungehoji herufi ni kitu gani ukitaka uonyeshwe uthibitisho....ukaamini tu alafu uku ñdio unajidai unatakq udhibitisho
 
Wewe una dyslexia au nini?

Hata "atheist" hujui kuandika?

Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo?
 
[

Aethist chai rangi wewe....get back to the discussion. Unashikilia makosa ya uandishi kama life line.kiswahili sio lugha yangu na tukifatilia hayo maswali yako ya kijinga...nani alikwambia inafaa kua huwezi na sio huezi?na vile unapenda kuhoji siungehoji herufi ni kitu gani ukitaka uonyeshwe uthibitisho....ukaamini tu alafu uku ñdio unajidai unatakq udhibitisho
Katika upuuz unaoweza kuufanya huku JF ni kubishana na huyo jamaa

Bora upoteze mda wako kumtongoza hata Miss Chaga
 
Back
Top Bottom