hyperbolic
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 459
- 525
Hatariiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wamechukuana wagonjwa wawili wa akili wakakuta gari wakavua nguo na kuanza kucheza au?Africa magonjwa yote ya akili yanaitwa uchawi.
Sent from my Kimulimuli
Kwangu ni rahisi kukubali kwamba mtu kategesha kitu kwenye gari kinachompa mwizi ugonjwa wa akili kuliko kuamini "uchawi".Kwa hiyo wamechukuana wagonjwa wawili wa akili wakakuta gari wakavua nguo na kuanza kucheza au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichoamini kuwa uchawi upo?Africa magonjwa yote ya akili yanaitwa uchawi.
Sent from my Kimulimuli
Uchawi ni nini?Usichoamini kuwa uchawi upo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio singeli mkuuWangeniibia mimi, wangekoma[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] maana hayo mauno wangekuja kuyakata nyumbani kwangu tena ningewawekea SEBENE[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi ni nini?
Unajuaje kwamba upo?
Sent from my Kimulimuli
1.Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamiinyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.Uchawi ni nini?
Unajuaje kwamba upo?
Sent from my Kimulimuli
That is not inherrently logically inconsistent.Mgonjwa wa akili ndo anacheza na nyoka uchi..... smh
1.Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamiinyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.
Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kiimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.
Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.
Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.
2.Kuwepo kwa matukio yanayoendana na imani ya kichawi na ambayo siyo ya kawaida Katika jamii: mfano; Angalia hii video
Uchawi upo tangu enzi za musa. Sasa sijui unatokea wapi usijue kama uchawi upoUmejibu swali moja kwa kutupa swali jingine.
Nguvu hizo ni zipi? Unajuaje kama zipo kweli na si hadithi tu?
Sent from my Kimulimuli
That is not inherrently logically inconsistent.
Uchawi ni nini?
Hujajibu swali.
Sent from my Kimulimuli
Unataka niwawekee ule wa Dula makabila "hujaulamba"?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji23] [emoji23] [emoji23] sio singeli mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio singeli mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio singeli mkuu
Una miaka mingapi? na unaishi wapi?Umejibu swali moja kwa kutupa swali jingine.
Nguvu hizo ni zipi? Unajuaje kama zipo kweli na si hadithi tu?
Sent from my Kimulimuli