Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Niwe tayari mara ngapi? Mbona nishatoa challenge miaka kibao kama kuna mchawi aniloge na hakuna kilichotokea?

Kitu gani ambacho kiko practically possible lakini theorretically huwezi ku explain?

Na unajuaje kwamba hivyo vitu ni uchawi na si vitu vyenye explanation ambayo hujaijua tu?

Miaka 100- 130 iliyopita babu zetu hawakujua vitu kama radio na gramophone. Ungewaambia kwamba hii redio inayotoa sauti za kutoka mbali ni uchawi wa wazungu wangekuamini.

Leo tunajua redio inavyofanya kazi. Kisayansi.

Ukweli kwamba hawakujua redio inavyofanya kazi, ulifanya matangazo ya redio yawe uchawi?

Sasa na leo, unapoona kitu ambacho hukielewi na hakina explanation, unajuaje kwamba huu ni uchawi na si kitu tu ambacho si uchawi, bali hujakielewa tu?

Huoni kwamba kwa kukimbilia kusema huu uchawi kwa kitu ambacho hujakielewa vizuri unakuwa kama yule babu aliyeishi miaka 120 nyuma ambaye aliona matangazo ya redio ni "uchawi wa wazungu" wakati redio inaelezeka vizuri tu bila kuhitaji uchawi?

Sent from my Kimulimuli
Let's start here....do you believe the existence of GOD or any other supernatural power??
 
Ina onyesha habari za kutumiwa nyoka ni common sana huko Kenya.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Attachments

Kama umewahi kuuona upepo na ukaujua basi hata uchawi unaweza kuuona na ukaujua badala ya kuamini.
Kivipi? Unalazimisha?

Upepo unapimwa kwa kasi yake, muelekeo, watu wanachora mpaka ramani za pepo zinavyoenda, watu wanasafiri kwa upepo baharini.

Uchawi unaupima kwa kipimo gani? Unahakikishaje huu ni uchawi na si kitu kingine?
 
Let's start here....do you believe the existence of GOD or any other supernatural power??
No. I do not believe in such nonsense.

And I don't want to believe.

I want to know.
 
Wabongo wengi unaweza hata kuwawekea picha za movie au photoshop wakakubali mara moja uchawi bila hata kuuliza.

Yani wanapenda uchawi.

Wanataka uchawi uwepo.

Wanapenda majibu rahisi kwa maswali ambayo hayana majibu rahisi.

Ndiyo maana kuamini habari za uchawi si kazi kubwa sana.

Lakini wengi ukiwaambia tufanye uchunguzi tuelewe kwa undani kilichotokea ni nini, hata kama uchawi upo, ni kitu gani, wengi wanagwaya.
 
No. I do not believe in such nonsense.

And I don't want to believe.

I want to know.
Then stay aside before you stress yourself. You are in the wrong place mate!!

You want to know?....keep reading those books of yours. Because you seem so closed minded by sticking to what you know or understand by the book. But trust me, not each and everything can easily be explained until you experience yourself.

And my advice to you, please keep away from these issues because you look more pathetic than how smart to believe you are.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Huna mamlaka ya kunifukuza hapa.

Mimi ninayeuliza huo uchawi ukoje, kutaka kuelewa undani, na wewe unayesema uchawi bila kuelezea wala kuwa na utashi zaidi, nani ana closed mind?

Who told you that you have the capacity to advise me? Why do you think that your little brain is capable of advising me?

Can you prove your God exists?
 
Hahahaha...someone is panicking!!!!

You are blinded by the material world. Did you know that there are more speculations than theories in this world???

Can you prove the theory of the big bang?? Ooh wait....let's start with that of evolution for your limited knowledge.

I hope you can handle it!! Take your time to google by the way.
 
You don't have the mental capacity to make me panick.

Even if I can't prove anything about anything, that does not prove God exists or witchcraft exist.

Can you prove that God or witchcraft exists?

Sent from my Kimulimuli
 
View attachment 582522
Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kishe aende zake home, baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.

Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!

Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!
Leta kichupa hicho!
 
Duh! Kuliwa jicho tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You don't have the mental capacity to make me panick.

Even if I can't prove anything about anything, that does not prove God exists or witchcraft exist.

Can you prove that God or witchcraft exists?

Sent from my Kimulimuli

Hahahaa....am very sure that I remember telling you how pathetic you sound by seeing yourself as a know-it-all kind of person. Trust me, your frozen brain cannot unravel the mystery behind witchcraft and the existence of supernatural powers.

Just the way you read your books (not sure through) about science and theories of earth and universe and believe them it's the same for us who believe in the existence of GOD by reading the holy scriptures.

Don't sweat yourself to understand the "ying" if you are not part of the "yang".
 
By the way if you really want a piece of me .... just pm me. Tunaharibu threads za watu.
 
Hahahaa....am very sure that I remember telling you how pathetic you sound by seeing yourself as a know-it-all kind of person. Trust me, your frozen brain cannot unravel the mystery behind witchcraft and the existence of supernatural powers.

Just the way you read your books (not sure through) about science and theories of earth and universe and believe them it's the same for us who believe in the existence of GOD by reading the holy scriptures.

Don't sweat yourself to understand the "ying" if you are not part of the "yang".
Acha longolongo.

Can you prove Gid exists?

Can you prove witchcraft exists?

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom