Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Kivipi? Unalazimisha?

Upepo unapimwa kwa kasi yake, muelekeo, watu wanachora mpaka ramani za pepo zinavyoenda, watu wanasafiri kwa upepo baharini.

Uchawi unaupima kwa kipimo gani? Unahakikishaje huu ni uchawi na si kitu kingine?
Wewe umewahi kuuona upepo?
 
Hahahaha....then why are u sweating yourself to know my bullshit?
I am just pointing out to others "this is bullshit, don't go near it, you will get diseases".

Sent from my Kimulimuli
 
View attachment 582522
Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kishe aende zake home, baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.

Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!

Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!

Wataalamu wa aina hii wapewe ajira na Wizara ya usalama wa Raia. Hata kwa special consultation
 
Miaka yangu na nibapoishi vinahusikaje na habari hii?

Hujajibu maswali yangu.

Sent from my Kimulimuli
Kwanza nilitaka kujua kama wewe unaishi hapa Tanzania au ulimwengu mwingine,pili umri ukiwa mdogo maana yake bado hujayaona, wenyewe wanasema kua uyaone!!!
 
Kwanza nilitaka kujua kama wewe unaishi hapa Tanzania au ulimwengu mwingine,pili umri ukiwa mdogo maana yake bado hujayaona, wenyewe wanasema kua uyaone!!!
Ulimwengu mwingine ndio upi huo?

Hakuna wadogo wanaojua kuliko wakubwa?

Mbona hujajibu maswali yangu bado? Unataka mimi nijibu yako tu wakati wewe hujibu yangu?
 
Wewe una uthibitisho wa kuwa hai kesho, una uthibitisho dunia, moon zina float aje kwenye maeneo yao. Una uthibitisho gani asteroids hazijaweza gongana na dunia.
There are superior unseen energies ewe nyumbu. Wewe usiyejua(not believing) haya mambo ndie mbumbumbu usie na ubongo wala uti wa mgongo.
Mkuu Huyu jamaa achana naye utapoteza nguvu zako bure.Hajui hata kwamba yeye mwenyewe ni spirit confined to his body.Nadhani he believes kwamba he is just another animal.He is too removed from the truth.Huyu ni atheist aliyeiva kweli kweli.
 
Back
Top Bottom