Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu.
Kuna muda nikiwaangalia viongozi wa Afrika unaonea huruma wananchi maskini ambao ni wahanga wa kudanganywa kipindi cha kampeni.
Kwanini viongozi wa Afrika wasiumize kichwa kutengeneza miundombinu ya viwanda Afrika na kuifanya Afrika sehemu nzuri ya watu kukimbilia.
Wakenya wana haki ya kumpinga William Ruto, ni mtu wa ajabu sana na waendelee hivyo hivyo.