Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Did he suggest any means to achieve that?Professor Lumumba of Kenya said openly that "don't elect fools to the office ".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Did he suggest any means to achieve that?Professor Lumumba of Kenya said openly that "don't elect fools to the office ".
Aisee ruto ni bure kabisa sikujua ni mweupe vile kichwaniProfessor Lumumba of Kenya said openly that "don't elect fools to the office ".
Kazi zenuewe za kufua vyup* uarabuniAfrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu.
Kuna muda nikiwaangalia viongozi wa Afrika unaonea huruma wananchi maskini ambao ni wahanga wa kudanganywa kipindi cha kampeni.
Kwanini viongozi wa Afrika wasiumize kichwa kutengeneza miundombinu ya viwanda Afrika na kuifanya Afrika sehemu nzuri ya watu kukimbilia.
Wakenya wana haki ya kumpinga William Ruto, ni mtu wa ajabu sana na waendelee hivyo hivyo.
Anawakosea sana wakenya viongozi wawe na huruma kama hawawezi kubadilisha mazingira mabovu yaliyopo wasigombanie wafanye shughuli nyingineKazi zenuewe za kufua vyup* uarabuni
Mtu akitafuta kazi ulaya atafute kwa utashi wake lakin sio sawa Rais unatumia ela za walipa kodi kwenda kuwatafutia watu wako kazi kwa hiyo inamaana umeshakubali kazi imekushindaWewe huna akili kichwani, nitajie nchi ipo ya ulaya haitafutii watu kazi Africa? Nitajie nchi moja tu nikioneshe wazungu wanaoingiza pesa kwa kutafutiwa kazi Africa na serikali zao.
Hapa kama ndio ulikaa ukawaza ukajiona una akili hizi ni takataka tu umeandika, Rutto ni akili kubwa hata wewe unatamani hizo ajira Ujerumani ila ndio wale kina Sungura sizitaki mbichi hizi.
Wewe huna akili kichwani, nitajie nchi ipo ya ulaya haitafutii watu kazi Africa? Nitajie nchi moja tu nikioneshe wazungu wanaoingiza pesa kwa kutafutiwa kazi Africa na serikali zao.
Hapa kama ndio ulikaa ukawaza ukajiona una akili hizi ni takataka tu umeandika, Rutto ni akili kubwa hata wewe unatamani hizo ajira Ujerumani ila ndio wale kina Sungura sizitaki mbichi hizi.
Achana nao, hao ni wapuuzi Sana.
Unafikiri wameshawahi kujiuliza ni kwa nini nchi mbalimbali hapa duniani ikiwamo na Tanzania inawateua mabalozi na kisha kuwatuma kwenda kuiwakilisha nchi husika katika nchi nyingine?Je, Wanazijua sababu za nchi kufanya hivyo??
Tatizo lililopo ni kwamba Tanzania kuna raia mambumbumbu wengi Sana kupita kiasi.
Acha ushamba wewe unajenga viwanda unabinafsisha kwa waasia wanaajiri watu wako na kuwalipa laki na nusu wakati huohuo unaona kabisa unaweza kupeleka nguvu kazi hiyohiyo sehemu watayolipwa milioni 4 kwa mwezi wewe ungeangaika na sehemu gani zaidi..?Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu.
Kuna muda nikiwaangalia viongozi wa Afrika unaonea huruma wananchi maskini ambao ni wahanga wa kudanganywa kipindi cha kampeni.
Kwanini viongozi wa Afrika wasiumize kichwa kutengeneza miundombinu ya viwanda Afrika na kuifanya Afrika sehemu nzuri ya watu kukimbilia.
Wakenya wana haki ya kumpinga William Ruto, ni mtu wa ajabu sana na waendelee hivyo hivyo.
Uwezo wa kunegotiate na kuomba ajira huko nje hawana wenzio waone hivyohivyo hawa viongozi the way unavyoona mtaani akija mzungu huwa anaogopwa ni the same kwenye maofisi ya umma wanawaogopa kwanza.Huyu anatafuta nafasi zaidi kwa vijana badala ya wote kuwa bodaboda au bajaj.
Ukipita viwanja vya ndege Qatar n.k wamejaa watu wadanyakazi vijana wanaongea kiswahili, uliza wametoka wapi Kenya, cabin crew ktk mashirika ya ndege wapi wametoka Kenya, service and hospitality mahotelini wamejaa wametoka wapi Kenya, visiwa vidogo vya utalii mkubwa bara ulaya unakutana na waswahili wapi kwao Kenya n.k
Nchi zinazojitambua kama Kenya, The Philippines n.k serikali inawezesha raia wao kwenda nje kwa malaki (100,000s) fani mbalimbali kuanzia unesi, hoteli, ubaharia n.k
Viongozi wa Tanzania wanataka vijana wote wawe maofisa usafirishaji, mama lishe n.k wabanane ktk faini ilifika kikomo kibiashara (wanagombania wateja wachache kutokana na wingi wa bodaboda n.k ) mitaa ya miji ya Tanzania wakati kuna nafasi za kuanzia useremala , welding, mafundi uashi, unesi n.k nje ya nchi
Kwa akili hizi kama zako Afrika itaendelea kuwa maskini mileleAcha ushamba wewe unajenga viwanda unabinafsisha kwa waasia wanaajiri watu wako na kuwalipa laki na nusu wakati huohuo unaona kabisa unaweza kupeleka nguvu kazi hiyohiyo sehemu watayolipwa milioni 4 kwa mwezi wewe ungeangaika na sehemu gani zaidi..?
Umeona mbali.Afdhali hata Ruto kuliko wale jirani zake ambao utawala wao upo busy sana katika kufanya operation haramu za kuwateka, kutesa na kuwaua wapinzani wao kisiasa.
Ruto kwa kiasi kikubwa ni mvumilivu Sana kisiasa, anakubali kukosolewa na bado anajitahidi kuwatafutia kazi wale watu wanaomkosoa.
mtu anaropoka tu kila analowaza yeye anajikuta eti anaakili Sana!Achana nao, hao ni wapuuzi Sana.
Unafikiri wameshawahi kujiuliza ni kwa nini nchi mbalimbali hapa duniani ikiwamo na Tanzania inawateua mabalozi na kisha kuwatuma kwenda kuiwakilisha nchi husika katika nchi nyingine?Je, Wanazijua sababu za nchi kufanya hivyo??
Tatizo lililopo ni kwamba Tanzania kuna raia mambumbumbu wengi Sana kupita kiasi.
Hajamzidi yule msanii anayevaa Ushungi wa RedRuto ni msanii tu
Yeah