Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ni mtu flani wa hovyo sana alafu hana hata mshipa wa aibuRuto ni msanii tu
Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi alafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu
Kuna mda nikiwaangalia viongozi wa afrika unaonea huruma wananchi maskini ambao ni wahanga wa kudanganywa kipindi cha kampeni
Kwanini viongozi wa afrika wasiumize kichwa kutengeneza miundombinu ya viwanda afrika na kuifanya afrika sehemu nzuri ya watu kukimbilia
Wakenya wanahaki ya kumpinga william ruto ni mtu wa ajabu sana na waendelee hivyo hivyo
Ruto ni msanii tu
Afdhali hata Ruto kuliko wale jirani zake ambao utawala wao upo busy sana katika kufanya operation haramu za kuwateka, kutesa na kuwaua wapinzani wao kisiasa.Ni mtu flani wa hovyo sana alafu hana hata msipa wa aibu
Hakuna penye afadhali kote wananchi wanateseka na umaskini wa kutisha viongozi waliowachagua wamefeli pakubwa sanaAfdhali hata Ruto kuliko wale jirani zake ambao utawala wao upo busy sana katika kufanya operation haramu za kuwateka, kutesa na kuwaua wapinzani wao kisiasa.
Ruto kwa kiasi kikubwa ni mvumilivu Sana kisiasa, anakubali kukosolewa na bado anajitahidi kuwatafutia kazi wale watu wanaomkosoa.
Hata Marekani kuna watu wenye umaskini wa kutisha. Ninachozungumzia Mimi ni uafadhaki wa mtawala au utawala wake uliopo kwenye nchi husika. Huwezi kuulinganisha utawala wa Ruto na utawala wa wale 'jirani zake' wanaoteka wapinzani wao na kuwaua kikatili eti kisa 'wanamkosoa sana "mungu wao" aliyopo kwenye nchi hiyo.'Hakuna penye afadhali kote wananchi wanateseka na umaskini wa kutisha viongozi waliowachagua wamefeli pakubwa sana
Wewe huna akili kichwani, nitajie nchi ipo ya ulaya haitafutii watu kazi Africa? Nitajie nchi moja tu nikioneshe wazungu wanaoingiza pesa kwa kutafutiwa kazi Africa na serikali zao.Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu
Kuna muda nikiwaangalia viongozi wa Afrika unaonea huruma wananchi maskini ambao ni wahanga wa kudanganywa kipindi cha kampeni
Kwanini viongozi wa Afrika wasiumize kichwa kutengeneza miundombinu ya viwanda Afrika na kuifanya Afrika sehemu nzuri ya watu kukimbilia
Wakenya wana haki ya kumpinga William Ruto, ni mtu wa ajabu sana na waendelee hivyo hivyo
Kwa akili hizi kazi ipo.Alooo umeongea kitu mimi sikuwazaa, upo sawaa kabisaa kama ni fursa atengeneze fursaa nchini kwakee, sasa manesi wazuri wote kapeleka njee so wakenyaa wabaki na low Quality nurses
Wewe huna akili kichwani, nitajie nchi ipo ya ulaya haitafutii watu kazi Africa? Nitajie nchi moja tu nikioneshe wazungu wanaoingiza pesa kwa kutafutiwa kazi Africa na serikali zao.
Hapa kama ndio ulikaa ukawaza ukajiona una akili hizi ni takataka tu umeandika, Rutto ni akili kubwa hata wewe unatamani hizo ajira Ujerumani ila ndio wale kina Sungura sizitaki mbichi hizi.
Achana nao, hao ni wapuuzi Sana.Kwa akili hizi kazi ipo.
bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu
Wala uhitaji kuwa na degree kujuwa NGO ni plan ya wazungu kuboost ajira kwa watu wao vilevile, wanatowa misaada na watu wao wanapata ajira humohumo mfano USAID and likes.Achana nao, hao ni wapuuzi Sana.
Unafikiri wameshawahi kujiuliza ni kwa nini nchi mbalimbali hapa duniani ikiwamo na Tanzania inawateua mabalozi na kisha kuwatuma kwenda kuiwakilisha nchi husika katika nchi nyingine?Je, Wanazijua sababu za nchi kufanya hivyo??
Tatizo lililopo ni kwamba Tanzania kuna raia mambumbumbu wengi Sana kupita kiasi.
Wamewajaza Ujinga wanawaita ni maafisa isafirishaji, halafu eakibanwa na agenda muhimu wanawatumia haohao wajinga wenzao kutowa matamko ya kipuuzi kabisa.Huyu anatafuta nafasi zaidi kwa vijana badala ya wote kuwa bodaboda au bajaj.
Ukipita viwanja vya ndege Qatar n.k wamejaa watu wadanyakazi vijana wanaongea kiswahili, uliza wametoka wapi Kenya, cabin crew ktk mashirika ya ndege wapi wametoka Kenya, service and hospitality mahotelini wamejaa wametoka wapi Kenya, visiwa vidogo vya utalii mkubwa bara ulaya unakutana na waswahili wapi kwao Kenya n.k
Ni wataalam kwenye miundombinu ya wizi na kupora chaguzi.Kwanini viongozi wa Afrika wasiumize kichwa kutengeneza miundombinu ya viwanda Afrika na kuifanya Afrika sehemu nzuri ya watu kukimbilia.
Una **** nisha niniKwa akili hizi kazi ipo.