Maajabu ya Afrika ni pale kiongozi anachaguliwa halafu yuko bize kuwatafutia kazi wananchi wake nje ya nchi

Kazi zenuewe za kufua vyup* uarabuni
 
Mtu akitafuta kazi ulaya atafute kwa utashi wake lakin sio sawa Rais unatumia ela za walipa kodi kwenda kuwatafutia watu wako kazi kwa hiyo inamaana umeshakubali kazi imekushinda
 

Duniani kote nchi zinatafutia wananchi wake kazi nje ya mipaka yake. China 🇨🇳 ikiwa ni mfano wa kuigwa. Wao husaka huko na huko miradi mikubwa ambayo huwaletea faida kubwa. Mpaka wameanzisha kitu kinaitwa export credit facilities kwa ajili ya kutekeleza miradi ya nje ya mipaka yao. Lakini Ruto yeye anaenda kuwaombea ajira (na siyo kazi) kama wachina wanavyofanya. Sasa kwa hali hiyo utasema hawa marais wanawaza mbali kwa hili?
 

Kwa hiyo wanatumwa kusaka ajira, badala ya kwenda kusaka fursa za biashara, masoko, elimu, uchumi nk?
 
Acha ushamba wewe unajenga viwanda unabinafsisha kwa waasia wanaajiri watu wako na kuwalipa laki na nusu wakati huohuo unaona kabisa unaweza kupeleka nguvu kazi hiyohiyo sehemu watayolipwa milioni 4 kwa mwezi wewe ungeangaika na sehemu gani zaidi..?
 
Uwezo wa kunegotiate na kuomba ajira huko nje hawana wenzio waone hivyohivyo hawa viongozi the way unavyoona mtaani akija mzungu huwa anaogopwa ni the same kwenye maofisi ya umma wanawaogopa kwanza.

Hii inlishaharibiwa na mifumo ya kijamaa isee
 
Acha ushamba wewe unajenga viwanda unabinafsisha kwa waasia wanaajiri watu wako na kuwalipa laki na nusu wakati huohuo unaona kabisa unaweza kupeleka nguvu kazi hiyohiyo sehemu watayolipwa milioni 4 kwa mwezi wewe ungeangaika na sehemu gani zaidi..?
Kwa akili hizi kama zako Afrika itaendelea kuwa maskini milele
 
Umeona mbali.
 
Ruto ni akili kubwa anawaza nje ya box
Siyo kuwaza ndani ya mipaka kama kuku aliyeko bandani
raia waende huko duniani wakaitafute pesa wailete kenya kujenga nchi
 
mtu anaropoka tu kila analowaza yeye anajikuta eti anaakili Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…