Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu


We nae ni wale wale sasa bikra maria ni nani ?
 
Wakatoliki hawana ubaguzi au ubinafsi . Wakatoliki waliona ni jambo jema ili walokole pamoja na waislamu pia mpate nafasi ya kusoma mtoke gizani . Tena unatakiwa umshukuru .


Mtu aliye weza kuyaunganisha makabila 125 ya Tanzania una mchukulia poa . Kawaulize kenya uone kama ni rahisi !

Marekani ina mheshimu Nyerere . Wewe mlokole wa Igawilo hata ukimdharau Nyerere hauna impact yoyote kuhusu ukuu wa Nyerere .
 
Wakatoliki hawana ubaguzi au ubinafsi . Wakatoliki waliona ni jambo jema ili walokole pamoja na waislamu pia mpate nafasi ya kusoma mtoke gizani . Tena unatakiwa umshukuru .
Tafadhali hapana zile shule za kanisa katoliki au za waislamu za Agha Khan,Au Anglikana kama Minaki nk zilikuwa za kulipia zilikuwa hazibagui dini ya mtu ni ada yako tu

Na Nyerere mkatoliki aliajiriwa kama mwalimu shule ya Minaki ya sekondari bila kumbagua wakati yeye alikuwa mkatoliki
Baadaye al8pishika nchi akataifisha shule ya waanglikana Minaki kuwa ya serikali. Shule iliyojengwa kwa sadaka za waumini sio kwa ruzuku ya serikali ya kikoloni au ya kwake

napinga Nyerere asitangazwe mtakatifu na kanisa katoliki na huo mchakato usimame mara moja

Nyerere kutaifisha hakutenda haki
 
Sawa ...
 
Mkuu mbona unachanganya mafaili? Nyerere alitaifisha nini? Mbona ukweli ni kwamba shule ya Sekondari Minaki ilitaifishwa na Serikali mwaka 1970? Hiyo aliyoitaifisha Nyerere ni ipi?
 
Tunamuheshimu sana ila hiyo ya kumuomba yeye atuombee hapana, sababu sala haielekezwi kwa wafu

Maana yeye amelala usingizi wa mauti kama binadamu wengine waliotangulia

Tunamuomba Yesu ili tupate fadhili na rehema za Baba, maana alisema chochote muombacho kwa jina langu basi Baba atawapa na hakuna uzima pasi na kupitia yeye

Kama ambavyo tunafuata mafundisho ya Musa, Daudi na wengineo hata Danieli ndivyo hivyo

Hata siku moja hatumuombi Musa atuombee ilhali aliwahi kuzungumza na Mungu, Vipi Eliya?, Henoko je
Hao wote ni wabarikiwa lakini maombi na sala ni kwa Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu tu
 
Yesu ndiye alimuumba bikra Mariam,

Pia Yesu ndiye aliyejiumba ndani ya tumbo la Mariamu kupitia Roho wake mtakatifu.

Mariam pia alijua Hilo na alimwabudu Mungu.

Ninyi WANADAMU mnaomwabudu Mariam ni waabudu shetani.
Aisee hapa nmejifunza kitu
 
Kwa mantiki hiyo ata sisi binadamu tuna uungu kwa sababu tumeumbwa na Mungu
Sasa je hujui kua binadamu tuna Uungu ndani yetu?
Inaanza Roho ndio unakuja mwili
Yaani binadamu ni Spirit and fresh ila kutokana na Adamu kua corrupted na Evil ikapelekea tukaanguka kiroho na kubaki mwili
Ni Yesu Kristo pekee alikuja kutufunulia siri ya Uungu akisema Mungu yupo ndani yetu ikiwa na maana ukikubali hilo na kuchukua hatua ya kuamini unamwamsha Roho Mtakatifu aanze kutenda kazi katika Asili Yako ya Mwanzo hivyo unarudi kua Immortal na ukikataa means hutaweza na Roho Yako itapotea in darkness maana Yesu alitoa siri wewe unakubali na kuchukua hatua halafu Roho Mtakatifu anadhihilisha hivyo kukubali ukweli huo ndio kipengele na ndio maana watu wanahubiriwa Injili Ili wajikomboe kutoka katika giza wao wenyewe binafsi,
Na ndio maana utaona baadhi ya watu wapo power Spiritual yote ni wamejitambua
(Salvation through Lord Jesus Christ)
 
Tatzo la wakatoliki wanarogwa mapema na vile vidude wanalishwa, hakuna akili wamebaki kuvunywa hela tu na wazungu. Lile kanisa linateka watoto mapema sana kabla hajajtambua anabatzwa. Kwa ufupi katoliki ni pure shirika la kibepari.
 
Ni mama yake maana pia alinyonya maziwa ya mama yake kama watoto wengine wafanyavyo
Mithali 8:22-30

"22 Bwana alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.

23 Nalitukuka tokea milele, tangu awali, Kabla haijawako dunia.

24 Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji.

25 Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa.

26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde Wala chanzo cha mavumbi ya dunia;

27 Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;

28 Alipofanya imara mawingu yaliyo juu; Chemchemi za bahari zilipopata nguvu;

29 Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;

30 Ndipo nilipokuwa pamoja naye, kama stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku; Nikifurahi daima mbele zake;..."
 
Hahaha dah mwanangu umenifurahisha sana kwa hili andiko. Vijana wa leo wangemwita Yusufu SIMP..
Tangu mwanzo hakujawahi kuwa na mwanaume mjinga mjinga wa kushikizwa bila Mungu kuingiliwa kati jamaa alikuwa kashatembea masaaa

Shwaaaaaaaaaaah
 
Kwa hiyo kumbe inatakiwa binadamu nijiabudu mimi mwenyewe maana Mungu yupo ndani yangu . Hakuna ulazima wa kuwaabudu wachungaji wenye makanisa ya mifukoni .
 
Marahaba: Kutokana na chuki uliyonayo na kutokana na Uzandiki , husda na ukafiri wako, nakujulisha mambo yafuatayo , ili ukaadithie mumewe leo:
1. Mwamposa SI DINI, ni huduma. :-Mwamposa hana kanisa, wala washirika, yeye anafanya huduma[ministy] kama vile ambavyo Mwakasege[Mlutheri] ana huduma yake inaitwa MANA.
2. 98% ya wanaosali kwa Mwamposa ni Waislamu, wakayoliki, walutheri na wasabato , tena wanakwenda baada ya kutoka katika makanisa yao!
3. Wanaosali kupitia maria ni waabudu sanamu, narudia tena ni waabudu sanamu, sijataja na sitaji dini na wala sijui ipi ila kwakuwa umeanza na kumalizia ukisali kama si kwa jina la YESU wewe ni muabudu sanamu. " Mimi "Yesu" ndiye njia , kweli na uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi! "sasa wanaopitia Maria kuna sehemu nyingine wanatak kwenda!
 
Hakuna mkatoliki mwenye akili anaweza kusali kwa mwamposa. Anaokogoza walioasi tu
 
Kwani bila Bikra Maria, Yesu angekuja vipi duniani ? Waheshimu baba na mama .
 
Hakuna mkatoliki mwenye akili anaweza kusali kwa mwamposa. Anaokogoza walioasi tu
Nakwambia, wanatoka misa na kuwahi kwa Mwamposa.
Kwahiyo kama si wakatiliki, tukubaliane sasa WALOKOLE NI WENGI DAR , maana juzi mwamposa inasemekana alikuwa na watu laki 5, je ni walokole wote?

NOTE: Wewe unaongea tu maana hujaumwa, huna mgonjwa unayeuguza na daktari akakwambia sisi hatuwezi mrudisheni nyumbani ama mpelekeni kwenye maombi.Hapo utakumbuka mpaka unaowaita manabii feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…