Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SimfahamuMnafahamiana?
SimjuiMbona amekutaja? Unamfahamu?
Ngoja adhabu yake ikiisha tuone kama ataendeleaana haribu malengo ya Uzi, kuji heshimu ni kitu kidogo.
Naona Eli Cohen kashapigwa bann. Na ni wewe umemchongea
Pole aisee!Simjui
Sasa ndiyo mle kona namna hiyo jamani?😀😀😀 Manjagata Mimi ni Mnyama OG ujue...😂View attachment 3264432💗💗💗💗
Kwa kuongeza hapo Kuna haya maji tunayo away mikono kwenye mijumuiko labda ya msiba na hata migahawani. Yemeonekana kuwa yanahitajika huko kwa watu fulani. Inawezekana nimewahi kuelezwa ila mimi sijakutana na maelezoMshana in the building,,,,! Ikikupendeza siku tuletee uzi utueleze kvp maiti za vichanga ni dili sana,,,, hata hospitalini nasikia unaweza kuibiwa kichanga,, uelezee pia kiundan matumizi ya ile damu ya mama alojifungua (chupa inapopasuka) nasikia kwenye ulimwengu wa giza hivi vitu ni applicable sana ,,, Sorry nje ya mada
Kifungo.kivipi?Mkuu hapana siwezi kurudi tena kule.. Sasa hivi niko huru sitamani kile kifungo tena🥱😎
Dunia ina mengi sana, khs hayo maji niliwahi kusikiaKwa kuongeza hapo Kuna haya maji tunayo away mikono kwenye mijumuiko labda ya msiba na hata migahawani. Yemeonekana kuwa yanahitajika huko kwa watu fulani. Inawezekana nimewahi kuelezwa ila mimi sijakutana na maelezo
InterestingMojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari karibu na Japani. Iliwachukua muongo mmoja kujua kwanini ilitokea na kwanini ilitokea ghafla na kutoweka hadi wakafanikiwa kugundua.
Mhandisi wa maumbo haya ya kushangaza, karibu mita 2 kwa upana, alikuwa aina mpya ya samaki aina ya puffer asiyezidi sentimita 12. Tafiti zilizofuata zilibaini kuwa zilikuwa miduara hiyo ya kuvutia ili kuvutia wenzi wao kwa ajili ya kujamiiana. Yaani ilikuwa kitongozeo..😀
Wanaume hutumia wiki sita kujenga "miduara ya mazao" chini ya maji ili tu kujamiiana kwa sekunde chache. Ili kuzitengeneza, anakusanya mchanga mzuri kwenye vilima na kupamba kwa makombe(seashells) ya bahari anayokusanya.
Ikiwa ana bahati, mwanamke aliye tayari atasimama katikati ya duara ili kuonyesha idhini ya kuoana. Ikiwa sivyo, mkondo wa bahari utaondoa kazi yake yote ya sanaa aliyotengeneza kwa umakini mkubwa
Asili haitaacha kamwe kutuvutia.
View attachment 3264411
Kuna documentary moja niliona kuna samaki wanashindana kubeba yale majumba ya konokono wa bahari,mwenye mengi anamvutia samaki jike kuja weka mayai yake,michoro ya mchanga wanaweza kua samaki pia,ila ile ya kwenye miamba ndio sijui nani hua anachoraMojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari karibu na Japani. Iliwachukua muongo mmoja kujua kwanini ilitokea na kwanini ilitokea ghafla na kutoweka hadi wakafanikiwa kugundua.