Maajabu ya baharini

Maajabu ya baharini

Kwa kuongeza hapo Kuna haya maji tunayo away mikono kwenye mijumuiko labda ya msiba na hata migahawani. Yemeonekana kuwa yanahitajika huko kwa watu fulani. Inawezekana nimewahi kuelezwa ila mimi sijakutana na maelezo
Ila hii dunia hakuna watu wajinga kama sisi Waafrika! Ukute liganga limewadanganya na wenyewe wanaenda kubeba, wasipofanikiwa linaenda tena kuwandanganya eti utakuwa ulikosea masharti! Hakuna watu waongo kama waganga wa kienyeji! Zamani kabla sijafahamu mambo ya dini nikajidai kumfuata rafiki yangu kwenda kwa mganga bwana, wanachofanya hawa jamaa huyo atakayekupeleka anaanza kwanza anapeleka taarifa zako zote kwa mganga. Sasa ukifika jamaa anaanza kupita mlemle ulimomhadithia huyo rafiki yako! Pumbavu kabisa!
 
Ila hiyo ya taarifa hata huku kwenye makanisa ya miujiza ipo. Mtu wako wa karibu anasimulia kuhusu wewe kwa namna ambayo hata yeye anaweza asione Kama ina shida. Ghafla unatokea unaanza kuambiwa mambo yako. Unasema kanisa si ndio hili? 😀
 
Back
Top Bottom