Maajabu ya bbc swahili

Maajabu ya bbc swahili

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ktk page yao
wanAnalalamika Palestina kupewa na Iran
. Halafu wnalalamika Ukrain kunyimwa pesa na Marekani ili kupambana na Urusi
Bbc swahili website yenu ibadilike.

Waandishi wasiwe bias.

Waislam pia tunaipitia page hio
Pasaka njema.
Waandishi waislam mnaofanya kazi humo ktk vikao vyenu vya ndani museme
 
BBC swahili pia wamekua vinara kuchochea kwa kuzungumzia habari za wanaoshiriki wapenzi ya jinsia moja

nafikiri vipindi vyao vichujwe kabla ya kurushwa mojakwa moja kwenye hizi redio washirika
 
Ktk page yao
wanAnalalamika Palestina kupewa na Iran
. Halafu wnalalamika Ukrain kunyimwa pesa na Marekani ili kupambana na Urusi
Bbc swahili website yenu ibadilike.

Waandishi wasiwe bias.

Waislam pia tunaipitia page hio
Pasaka njema.
Waandishi waislam mnaofanya kazi humo ktk vikao vyenu vya ndani museme
Aliyeelewa afafanue.
 
Wewe unawatetea Wapalestina na Hamas kwa hayo yanayotokea huko? Kuna vikundi vingi vya kigaidi vya kiislamu duniani na vinaua maelfu kila wakati, sijui huoni makosa ya akina Hamas, Al Shabab, Al Qaeda, Boko Haram na vingine vingi? Sijui kwanini unafikiri Marekani anapingana na Waislamu wakati marafiki zake wakubwa ni akina Saudi Arabia, nk. Uislam ni tatizo kubwa duniani na hata hapa Tanzania mikoa iliyojaa waislam ni shida tupu, au unasemaje?
 
Hata mbowe aliitwa gaidi. Nakultewa maelfu ya rundo la ushahidi. Wewe ndio uliokuwa wakwanza kulia lia humu na kuhangaika mahakamani kwamba anaonewa au kwa sababu mkiristo mwenzio?
 
Waislam mmeundwa kufikiri mnanyanyaswa na wakristo na mna ubaguzi mkubwa wa kidini, kama wakristo wangekuwa kama ninyi dunia hii isingekalika.
 
Wakiristo wabaguzi. Kwa mfano tz nyinyi mnapewa MOU kuimarisha shule zenu. Waislam walipotaka kujiunga OIC mlipipga kelele sana. Waislam wangalikua wanaroho ya kwanini mapumziko yangalikuwa J3 na J4. J2 na Jumamosi tunngalikua maofisini sote kama Waislam na Ijumaa..lkn kwa kuwa waislam hawana shida pesa ndio wakawa kimya tu

Waislam mmeundwa kufikiri mnanyanyaswa na wakristo na mna ubaguzi mkubwa wa kidini, kama wakristo wangekuwa kama ninyi dunia hii isingekalika.
 
Back
Top Bottom