Wakati wa Mwinyi badala ya nyie waislam nao kuwa na MOU kuimarisha shule zenu hamkufanya kitu badala ya kuchoma shule za wakristo huko Moshi na kwingineko. Wakati wa Kikwete na hadi sasa Samia Mbona hamkujiunga na IOC? Mbona hata Zanzibar haipo IOC? Mbona hata Zanzibar Jumapili ni siku ya mapumziko? Nani kawanyima Zanzibar kuwa na sharia kama ni kitu kizuri? Ajabu moja nyie waislamu hamfanyi mambo yenu halafu mnakuja kuwalaumu wakristo. Kuna tatizo kubwa na uislam, ni basi tu upo huko bila kujua kwanini ila nina uhakika kama sio woga kwa familia na jamii yako ungekwisha tupilia mbali hiyo imani.Wakiristo wabaguzi. Kwa mfano tz nyinyi mnapewa MOU kuimarisha shule zenu. Waislam walipotaka kujiunga OIC mlipipga kelele sana. Waislam wangalikua wanaroho ya kwanini mapumziko yangalikuwa J3 na J4. J2 na Jumamosi tunngalikua maofisini sote kama Waislam na Ijumaa..lkn kwa kuwa waislam hawana shida pesa ndio wakawa kimya tu