Maajabu ya CHADEMA tawi la mtandaoni

Maajabu ya CHADEMA tawi la mtandaoni

Porojo na watu kujifanya wana uchungu na mabadiliko chadema uku mitandaoni ingekua ni kweli watanzania tuna huo uchungu kiasi hicho nchi ingekua mbali sana.Ila watu ni mihemko tu nakufuata upepo.Ukitegemea porojo za mitandao nakuziamini utapotea.
 
Strategy ya NO REFORMS NO ELECTIONS isiwe slogan tu ya maneno matupu inatakiwa iende sambamba na Shinikizo la maandamano kakaa chini kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja na na mikakati mingine.

Na hilo litategemea sana CHADEMA on the Ground na hizo Siasa Lissu anazimudu vizuri.
 
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).

Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA huwezi kuwaona wafuasi wa chama waliojaa tele mitandaoni.

Viongozi wa CHADEMA wakikamatwa, wakipotea, wakipigwa, wakilazwa magereza, wakiuwawa huwezi kuona reaction yoyote ya wafuasi wa CHADEMA nje ya mitandao.

Wagombea wao wakienguliwa katika chaguzi au wakinyang'angwa ushindi hakuna chochote cha maana wanaweza kufanya.

Wameshindwa kumchangia Lissu buku buku anunue vietee lakini wanataka V8 yake iliyopigwa risasi iwekwe makumbusho ya CHADEMA!

Hata hili la sasa la kikundi fulani cha mtandaoni kutokwa na povu kuhusu Mbowe bila shaka inaweza kuwa ni upepo tu wa mitandaoni ila kwa wanachama halisi hali ni tofauti sana kwa ground, ni wakati sasa keyboard warriors wapuuzwe.
Kudos !

Nawapuuza KEYBOARD WARRIORS...
 
Chadema,hata ifike mwaka 2060, kitaiondoa CCM madarakani. Trust me!
 
Porojo na watu kujifanya wana uchungu na mabadiliko chadema uku mitandaoni ingekua ni kweli watanzania tuna huo uchungu kiasi hicho nchi ingekua mbali sana.Ila watu ni mihemko tu nakufuata upepo.Ukitegemea porojo za mitandao nakuziamini utapotea.
...ukitegemea porojo za mitandao na kuziamini utakuwa ni ZWAZWA haswa....
 
Eti mbowe mitano tena 😁 mtoa mada naunga hoja yako mkono.
IMG-20241222-WA0001.jpg
 
Wafuasi wa CDM mitandaoni wanafanana na hulka ya kukurupuka/kuropoka aliyonayo mh.Lissu...
..chadema haina wafuasi wajinga mitandaoni hao ni mashabiki feki wa vyama kushabikia ujinga watoto wao waende chooni.
 
Team Lissu wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kali cha kichwa
 
Kwa sababu Chadema ni chama Cha mitandaoni

Mitaani CCM wamekaba Kila kona

Wewe naye ni shida. Sasa CHADEMA ikiwa na watu wengi mtandaoni huoni ndio inawatu wengi mtaani pia?. Maana hao wa mtandaoni wapo mtaani.
 
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).
Wewe ume yajuaje hayo ya "nje ya mitandao"? Uhalisia wa huko unaujuwa?
 
👆👇

Mbona kuna contradiction hapa, kumbuka CHADEMA mitandaoni asilimia kubwa ni CHADEMA Diaspora, wanaweza kuachana na Siasa za Bongo halafu wafuatilie mambo yao huko ughaibuni, lakini ndio kundi lililo active kuliko CHADEMA on the Ground.

Mfano mzuri hata form ya Lissu, Mkutano wa Lissu, umechangiwa na CHADEMA Diaspora, wakulaumiwa ni CHADEMA Kitaani na Mashinani ambao yakiitishwa maandamano wala hawatokei.

CHADEMA mitandaoni nao wakikaa kimya ndio basi tena.
Mimi nilivyo kuelewa hapa, na kama ni sahihi ningeomba mleta mada naye akuelewe hivyo hivyo:

Kwamba CHADEMA ya Mbowe haijishughulishi zaidi huko mitaani waliko wananchi. Kazi huko wame achiwa CCM watambe wanavyo taka wenyewe.

Hali hiyo imekuwa ni tofauti huko mitandaoni; ambako, pamoja na juhudi kubwa wanazo fanya CCM huko (akina Mwashamba na wenzake wengi); badala ya kuwepo na ushawishi badala yake wanakuwa kama majuha.

Tawi la akina Mbowe likiondoka, hali huko mitaani nayo itageuka haraka sana.
 
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).

Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA huwezi kuwaona wafuasi wa chama waliojaa tele mitandaoni.

Viongozi wa CHADEMA wakikamatwa, wakipotea, wakipigwa, wakilazwa magereza, wakiuwawa huwezi kuona reaction yoyote ya wafuasi wa CHADEMA nje ya mitandao.

Wagombea wao wakienguliwa katika chaguzi au wakinyang'angwa ushindi hakuna chochote cha maana wanaweza kufanya.

Wameshindwa kumchangia Lissu buku buku anunue vietee lakini wanataka V8 yake iliyopigwa risasi iwekwe makumbusho ya CHADEMA!

Hata hili la sasa la kikundi fulani cha mtandaoni kutokwa na povu kuhusu Mbowe bila shaka inaweza kuwa ni upepo tu wa mitandaoni ila kwa wanachama halisi hali ni tofauti sana kwa ground, ni wakati sasa keyboard warriors wapuuzwe.
Hizi kelele zitaisha Lissu atakapobwagwa, kuna wengine hawa wanaojiita wanaharakati nao ni hovyo tu....

Kitu gani hicho? Mbowe Hana ubavu wa kumshinda Lissu. Hata hapa JF Mbowe kapigwa fimbo ndefu. Asilimia 82 Lissu na Mbowe Asilimia 18
Mbowe matumaini yake makubwa ni kuchakachuwa uchaguzi. Kazi hii anawategemea sana CCM wamsaidie kuitekeleza.
Wote wanao taka mabadiliko chanya ndani ya CHADEMA inabidi sasa kuelekeza juhudi huko kwenye kuzuia uovu huo.

Muda ni mfupi sana; kwa hiyo badala ya kupoteza muda mwingi kujadili akina Mbowe na washirika wao wa CCM ni lazima kuzitambua njia watanazo panga kuzitumia na ili njia sahihi za kuzuia ziwekwe wazi haraka kabla ya uchaguzi
 
Porojo na watu kujifanya wana uchungu na mabadiliko chadema uku mitandaoni ingekua ni kweli watanzania tuna huo uchungu kiasi hicho nchi ingekua mbali sana.Ila watu ni mihemko tu nakufuata upepo.Ukitegemea porojo za mitandao nakuziamini utapotea.
Wako ulaya wanataka kutupangia nani awe kiongozi wetu.
 
Wanachama wa nyuma ya keyboard wanamlaumu Mwenyekiti 😝😝😝

Wakiitwa kuandamana huwaoni ila humu wamejaaa 😝😝😝
 
Kitu gani hicho? Mbowe Hana ubavu wa kumshinda Lissu. Hata hapa JF Mbowe kapigwa fimbo ndefu. Asilimia 82 Lissu na Mbowe Asilimia 18
Nyie ndio wanachama wa mitandaoni,field hamuonekani mnamuacha Mbowe mwenyewe 😝😝

Wanachama wa nyuma ya keyboard mna kelele sana
 
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).

Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA huwezi kuwaona wafuasi wa chama waliojaa tele mitandaoni.

Viongozi wa CHADEMA wakikamatwa, wakipotea, wakipigwa, wakilazwa magereza, wakiuwawa huwezi kuona reaction yoyote ya wafuasi wa CHADEMA nje ya mitandao.

Wagombea wao wakienguliwa katika chaguzi au wakinyang'angwa ushindi hakuna chochote cha maana wanaweza kufanya.

Wameshindwa kumchangia Lissu buku buku anunue vietee lakini wanataka V8 yake iliyopigwa risasi iwekwe makumbusho ya CHADEMA!

Hata hili la sasa la kikundi fulani cha mtandaoni kutokwa na povu kuhusu Mbowe bila shaka inaweza kuwa ni upepo tu wa mitandaoni ila kwa wanachama halisi hali ni tofauti sana kwa ground, ni wakati sasa keyboard warriors wapuuzwe.
Hujui dunia
 
Back
Top Bottom