Kudos !Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).
Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA huwezi kuwaona wafuasi wa chama waliojaa tele mitandaoni.
Viongozi wa CHADEMA wakikamatwa, wakipotea, wakipigwa, wakilazwa magereza, wakiuwawa huwezi kuona reaction yoyote ya wafuasi wa CHADEMA nje ya mitandao.
Wagombea wao wakienguliwa katika chaguzi au wakinyang'angwa ushindi hakuna chochote cha maana wanaweza kufanya.
Wameshindwa kumchangia Lissu buku buku anunue vietee lakini wanataka V8 yake iliyopigwa risasi iwekwe makumbusho ya CHADEMA!
Hata hili la sasa la kikundi fulani cha mtandaoni kutokwa na povu kuhusu Mbowe bila shaka inaweza kuwa ni upepo tu wa mitandaoni ila kwa wanachama halisi hali ni tofauti sana kwa ground, ni wakati sasa keyboard warriors wapuuzwe.
Wafuasi wa CDM mitandaoni wanafanana na hulka ya kukurupuka/kuropoka aliyonayo mh.Lissu.....akili ya Lisu hiyo ana-react kwa ushabiki wa mitandaoni.
...ukitegemea porojo za mitandao na kuziamini utakuwa ni ZWAZWA haswa....Porojo na watu kujifanya wana uchungu na mabadiliko chadema uku mitandaoni ingekua ni kweli watanzania tuna huo uchungu kiasi hicho nchi ingekua mbali sana.Ila watu ni mihemko tu nakufuata upepo.Ukitegemea porojo za mitandao nakuziamini utapotea.
..chadema haina wafuasi wajinga mitandaoni hao ni mashabiki feki wa vyama kushabikia ujinga watoto wao waende chooni.Wafuasi wa CDM mitandaoni wanafanana na hulka ya kukurupuka/kuropoka aliyonayo mh.Lissu...
Kwa sababu Chadema ni chama Cha mitandaoni
Mitaani CCM wamekaba Kila kona
Team Lissu wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kali cha kichwa
Wewe ume yajuaje hayo ya "nje ya mitandao"? Uhalisia wa huko unaujuwa?Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).
Mimi nilivyo kuelewa hapa, na kama ni sahihi ningeomba mleta mada naye akuelewe hivyo hivyo:ππ
Mbona kuna contradiction hapa, kumbuka CHADEMA mitandaoni asilimia kubwa ni CHADEMA Diaspora, wanaweza kuachana na Siasa za Bongo halafu wafuatilie mambo yao huko ughaibuni, lakini ndio kundi lililo active kuliko CHADEMA on the Ground.
Mfano mzuri hata form ya Lissu, Mkutano wa Lissu, umechangiwa na CHADEMA Diaspora, wakulaumiwa ni CHADEMA Kitaani na Mashinani ambao yakiitishwa maandamano wala hawatokei.
CHADEMA mitandaoni nao wakikaa kimya ndio basi tena.
Hizi kelele zitaisha Lissu atakapobwagwa, kuna wengine hawa wanaojiita wanaharakati nao ni hovyo tu....Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).
Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA huwezi kuwaona wafuasi wa chama waliojaa tele mitandaoni.
Viongozi wa CHADEMA wakikamatwa, wakipotea, wakipigwa, wakilazwa magereza, wakiuwawa huwezi kuona reaction yoyote ya wafuasi wa CHADEMA nje ya mitandao.
Wagombea wao wakienguliwa katika chaguzi au wakinyang'angwa ushindi hakuna chochote cha maana wanaweza kufanya.
Wameshindwa kumchangia Lissu buku buku anunue vietee lakini wanataka V8 yake iliyopigwa risasi iwekwe makumbusho ya CHADEMA!
Hata hili la sasa la kikundi fulani cha mtandaoni kutokwa na povu kuhusu Mbowe bila shaka inaweza kuwa ni upepo tu wa mitandaoni ila kwa wanachama halisi hali ni tofauti sana kwa ground, ni wakati sasa keyboard warriors wapuuzwe.
Mbowe matumaini yake makubwa ni kuchakachuwa uchaguzi. Kazi hii anawategemea sana CCM wamsaidie kuitekeleza.Kitu gani hicho? Mbowe Hana ubavu wa kumshinda Lissu. Hata hapa JF Mbowe kapigwa fimbo ndefu. Asilimia 82 Lissu na Mbowe Asilimia 18
Wako ulaya wanataka kutupangia nani awe kiongozi wetu.Porojo na watu kujifanya wana uchungu na mabadiliko chadema uku mitandaoni ingekua ni kweli watanzania tuna huo uchungu kiasi hicho nchi ingekua mbali sana.Ila watu ni mihemko tu nakufuata upepo.Ukitegemea porojo za mitandao nakuziamini utapotea.
Nyie ndio wanachama wa mitandaoni,field hamuonekani mnamuacha Mbowe mwenyewe ππKitu gani hicho? Mbowe Hana ubavu wa kumshinda Lissu. Hata hapa JF Mbowe kapigwa fimbo ndefu. Asilimia 82 Lissu na Mbowe Asilimia 18
Hujui duniaUkifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).