Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Endelea na mapambio,,, mwenyewe unaemsifia anakupuuza
 
Usifananishe alcohol ya kwenye kinywaji na hizi za fumigation.

Chlorine for fumigation huwa ni 0.5% V/V. Hii ukiigusisha ngozi unaungua, ikigusa nguo inababuka.

Chlorine for hand sanitizing huwa ni 0.05%V/V. Hii ndio unaweza kuitumia kama sanitizer.

Sasa ile wanayofumigate mtaani itakuwa labda 0.7/0.8. Hii kitu kwanza vidonge vikiwekwa kwenye maji, yanachemka japokuwa hawako jikoni.

Miaka nenda rudi chlorine ndio inayotumika mahospitalini kama dawa ya kuua vimelea.

Unforgetable
 
Rais Magufuli ni chaguo la Mungu!
Magufuli the real African Lion
Baeleseni Baitu Baelewe!.
P
 
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Just to shade some lights in regard to Tundu viz-a-viz Magufuli.
  1. Lissu is a Professional Lawyer while Magufuli is a Professional Chemist. It's very unfortunate that Tanzania has chosen to make a Leader/ President who is a chemist/ scientist.
Mkuu Mzalendo2015 , angalia kazi nzuri hii ya Bingwa wa Kemia.

P
 
Mkuu Mzalendo2015 , angalia kazi nzuri hii ya Bingwa wa Kemia.


P

P
Acha propaganda zako ndugu.
Unaweza niambie ni wapi elimu ya Chemistry ya Magufuli imesaidia kutibu,kuponya au KUZUIA Corona?

Hivi Magufuli anaweza kuwa anaijua Kemia kuliko hao walomfundisha Chemistry kuanzai O Level, Diploma ya Ualimu CM-Mkwawa na baadaye UDSM?
Yaani unataka kusema Wazungu waanzilishi wa somo la Kemia hawajui lolote Uhusiano wa Covid-19 na Chemistry? Usitake kuchekesha watu Mzee wa Njaa(Mayala)😂😂
Corona Tanzania imezuiliwa na Mungu baada ya Watz KUFUNGA NA KUOMBA chini ya Viongozi wa dini.
 
 
P
 
Mungu ameliokoa Taifa letu na korona! Wanaotazamia tuokote miili barabarani kama walivyotabiri watasubiri Sana!!
Hivi watu wengine nahisi wana viwili wili tu kama kuku aliyekatwa kichwa. Yaani uwe na kichwa chenye macho, masikio na ubongo bado useme "Mungu ametuepusha na Corona", ina maana hizi taarifa za vifo huzisikii wala huoni watu wakienda kuombewa misikitini na makanisani kabla ya kuzikwa?
 
Hivi,Pasco,hua unafikiria vizuri kabla ya kuandika makala zako?
Maana Kila nilisoma makala zako hua sikuelewi unafikiriaga Nini,Mara nyingine nafikiria kuungana na wale wanaosema unataka uteuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…