mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #41
Tunataka moo atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787]Mnashupalia Simba kufungwa.... Ndo kafungwa sasa mnatakaje?
Kumbe twapokezana yakheee basi mlichukueeeSisi ndio tuliwaachia nyie mwaka Jana mlionje
Mi mpk nashangaa hivi hiz hoja zinatoka kwa wanaume ninao amini ni wajuvi wa masuala ya mpira?Kwa kipimo hiki, basi hata Argentina asingeupata ubingwa wa Dunia!
Mo hawezi achia timu kwa wacheza uchi wa avic townTunataka moo atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787]
Wewe ni mke wake moo?Mo hawezi achia timu kwa wacheza uchi wa avic town
Wewe ni mcheza uchi?Wewe ni mke wake moo?
Wewe Mo ndo kawaambia wafungwe sio!?... Au ndo uropokaji wenyewe?...Tunataka moo atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787]
Na kwakurudi kwetu Dar,hilo Bonanza limeshadoda tayari.Tumewafanyieni makusudi ili muongeze zawadi za mshindi,siyo team inatumia 300M halafu zawadi 15M.Bakini huko nyie mcheze maana hamna majukumu mazito ya Champions League[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana wanathimbaa.
Ila mnatia aibu sana, yaani mechi Moja tu mnabeba virago vyenu hao mnarudi dar???
Simba ina majukumu mazito ya CL,sasa tutawaigaje team iko Losers Cup?Shida yenu ni kutaka kila kitu kuwaiga yanga..mlivyosikia yanga kawaweka pembeni nyota wake karibu wote na nyie mkafuata mkumbo wakati nyie hamna kikosi mbadala
Hili ni wachache tu wataelewa,lakini waandaaji wa haya mashindano wameelewa kabisa kuwa Simba haikutaka kushiriki,walichofanya ni kuwakatalia kikubwa kwa kufungwa mechi ya kwanza tu.Hawataki kupoteza muda wameamua watumie mbinu hii kujiondoa
Poleni sana. Sasa mwaka huu mtaondoka na kombe lipi[emoji848][emoji848]?? Miaka inasonga kimasihara huku mkiendelea na porojo zenu za kimataifa[emoji1][emoji1][emoji1]Na kwakurudi kwetu Dar,hilo Bonanza limeshadoda tayari.Tumewafanyieni makusudi ili muongeze zawadi za mshindi,siyo team inatumia 300M halafu zawadi 15M.Bakini huko nyie mcheze maana hamna majukumu mazito ya Champions League
Huko mnakoelekea ndio balaa mtajua hamjuiSimba ina majukumu mazito ya CL,sasa tutawaigaje team iko Losers Cup?
Makolo kupigwa sio ajabu ashapigwa na azam ligi kuu ashapigwa na yanga ngao ya jamii ajabu no kutolewa mashindano kwemye mechi ya kwanza tu ya kutetea ubingwa'Maajabu Ya Dunia' ....!
Duh.. Basi Simba ni Kweli Timu Kubwa Pekee Tanzania mpaka inapotokea ikifungwa linafanyika 'Ajabu Lingine' La Dunia..!
Hakika Wewe ni utopolo, akili zero. Simba na France wote walifungwa mechi moja ya Kwanza Ila France hakutolewa ila Simba ametolewa, sasa huoni kama kilichoitoa Simba ni Kanuni za mashindano?France walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua out
Simba mechi Moja tu out huoni tofauti hapo? Au ndio tuseme rage alivosema Simba wote ni mbumbumbu hakukosea