BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kumuyange fc akiwa mtetezi kombe la mbunge 2007 alitolewa na Nyamiyaga stars ndani ya dk 90.Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
NB: Hii Kumuyange ndo iliyogundua kipaji cha Kibu Dennis kabla Makolo hawajaingia mkenge