Maajabu ya Dunia: Bingwa mtetezi kutolewa mashindanoni baada ya kucheza dakika 90 tu za mechi yake ya kwanza ya mashindano

Maajabu ya Dunia: Bingwa mtetezi kutolewa mashindanoni baada ya kucheza dakika 90 tu za mechi yake ya kwanza ya mashindano

Na ww umeshupaliaa..je nyie mlivyotolewa na Alhilal club Bingwa uchungu wake unazidi kweli wa kikosi cha pili tena cha kombe la pweza??? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Angalau sisi tulicheza mechi mbili ndio tukatolewa, nyie Moja tu??? Yaani refa kapuliza filimbi ya kuanza mechi mkiwa mabingwa watetezi, lakini alipopuliza filimbi ya kumalizia mechi tayari hao mkakimbilia mabegi kuanza kupakia mizigo tayri Kwa safari....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu ww unaona Mgunda anajua logic za hizi mambo?

Ukute hadi mpira unaisha hajui kama timu Yake ndo haina nafasi tena. Ukute mwenzio anajua ka yupo kwenye ligi kama ya NBC vile

ha ha ha i think kuna wrong information lets wait and see
 
France walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua out

Simba mechi Moja tu out huoni tofauti hapo? Au ndio tuseme rage alivosema Simba wote ni mbumbumbu hakukosea
Kuwa Yanga ni Qualification tosha kwamba ni ujinga na ndio maana huko kuna wawili tu.
France anatolewa kukiwa na timu 4 kwa Group but Group la Simba timu zipo 3. Sasa hiyo hesabu rahisi isiyohitaji hata tuisheni usaidiwe.
 
Kuwa Yanga ni Qualification tosha kwamba ni ujinga na ndio maana huko kuna wawili tu.
France anatolewa kukiwa na timu 4 kwa Group but Group la Simba timu zipo 3. Sasa hiyo hesabu rahisi isiyohitaji hata tuisheni usaidiwe.
Afadhali hao wawili wa Yanga kuliko huku kwingine ambapo wote ni mbu3..
France alitolewa baada ya kucheza mechi yake ya tatu ya kundi na kufungwa 2-0 dhidi ya Denmak.
Ilikuwa hivi mechi ya kwanza Senegal 1-0 France
Mechi ya pili uruguay 0-0 France
Na mechi ya tatu ambapo kama France wangeshinda walikua wanaenda 16 Bora ndio wakafungwa.

Ila Simba mechi yake ya kwanza tu kafungwa and at the same time katolewa mashindanoni huoni tofauti hapo we kilaza????
 
Watu wanatumia akili
 

Attachments

  • Screenshot_20230104-083624.png
    Screenshot_20230104-083624.png
    38 KB · Views: 3
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Simba gufu moya[emoji123][emoji123][emoji123]
Kinyonge kweli 😂😂😂
 
Back
Top Bottom