Sio kila kinachosemwa ndugu basi ukibebe ndugu,ukifanya hivyo utakua umekosa utashi wa kutafakari mamboNyie mnapigiagwa kura? sasa kwa taarifa yako polepole alitusanua jinsi mnavyotumia particular zetu kwenye nida na kila kitu yaani nyinyi hata marehemu anawapigia kura! na hata tukienda 2030 uchaguzi wa wale wote mlowazika kwa pamoja bado watapiga kura kwenu. Shame on you!
Umetumia kiungo gani kulinganisha hizo nchi na USMbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Sio kila kinachosemwa ndugu basi ukibebe ndugu,ukifanya hivyo utakua umekosa utashi
Hizi sio dhama za kutumia uongo utandawazi angalia hata mauaji yale mlizima network lakini vitu vimevuja tuSio kila kinachosemwa ndugu basi ukibebe ndugu,ukifanya hivyo utakua umekosa utashi wa kutafakari mambo
Tanzania imejaa viongozi wachawiGeneral elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:
Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million
Counting speed:
Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity.
Kenya needed five days for 14 million votes, with internet and power.
Zambia is still counting 8 million votes on day five, also with internet and power.
So Tanzania somehow managed to process more than double Kenya’s votes, in less than half the time, in total darkness, with zero connectivity.
The world doesn’t need more “evidence.” There was no election in #Tanzania. Just a coronation.
samia suluhu hassan’s regime is
Tusipokua makini tunaweza kuendelea kusukumwa kwenye ukuta wa kuharibu Taifa zaidi na zaidi kitu kisicho kizuri kamwe.Hizi sio dhama za kutumia uongo utandawazi angalia hata mauaji yale mlizima network lakini vitu vimevuja tu
Bila internet na umeme, au sioMbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Cha kwanza we ni mjinga cha pili hujui upigaji kura wa marekani ulivo na taratibu zake cha tatu hujui kuwa wanatumia teknolojia ipi kuhesabu kura cha nne Tanzania walihesabu kura manually bila teknolojia yeyote cha Tano we ni msengeMbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Wakikaribia kufa huwa wanaandika kitabu na kukiri makosa yao.Muulize Jaji Mwambegele!
Chief Elections Forgerer!
Nawashangaa mnaojifananisha na USA kila kukicha...Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Mchanganuo wa Idadi ya Watu (Uchaguzi wa Marekani wa 2024)Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Video clips zinazoonesha matendo ovu siku ya uchaguzi, zinaondoa vitendawili na maswali ya kujiuliza uliza ili kuyashangaa matokeo!General elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:
Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million
Counting speed:
Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity.
Kenya needed five days for 14 million votes, with internet and power.
Zambia is still counting 8 million votes on day five, also with internet and power.
So Tanzania somehow managed to process more than double Kenya’s votes, in less than half the time, in total darkness, with zero connectivity.
The world doesn’t need more “evidence.” There was no election in #Tanzania. Just a coronation.
samia suluhu hassan’s regime is
Marekani hakuna population ya watu million mianne acha uwongo!!Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Uchaguzi upi ?Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Hapa kama vile Babu, saivi kijana mtanashati km vile katika kubalehe
Kikundi kidogo cha wahuni na waroho wa madaraka wanaolazimisha kutawala kimabavu, ndiyo wanaoharibu hili Taifa/Nchi yetu.Tusipokua makini tunaweza kuendelea kusukumwa kwenye ukuta wa kuharibu Taifa zaidi na zaidi kitu kisicho kizuri kamwe.
Kichwa chako hakiko sawa kichwaniMbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs