Halafu alivyo mjinga ameshindwa kumuelewa Mwandishi.
Kasema TZ hakuna na Internet wala umeme Kwa wakati huo.
Wkt USA hakukua na tatizo la internet wala umeme siku za kupiga na kuhesabu kura
Achana nao hawajui lolote wasemalo. Badala ya kufurahia zoezi kuchukua muda MFUPI wao wanataka kura zihesabiwe mwezi mzima! Aliyewaita nyumbu ana akili sana.
Nina ndugu yangu alisimamia uchaguzi wa Samia. Anasema mpaka leo, yeye pamoja na wasimamizi wenzake wana masanduku yenye makaratasi ya kura ambayo hayakuhesabiwa!
Tanzania ni nchi ya maajabu mengi!