Leo kuna mkubwa mmoja ataaibishwa tena.
....stay tuned
Ningependa awe Chelsea ili atusubiri kwanza....
NYWA...#
Asante sana mkuu...nimerekebishaUlitaka kumaanisha YNWA?
Tena ni moto wa gas.poleni arsenal ila chelsea ni moto mwingine
Epl ni kama pepo za kusi hazichelewi kugeuka na kupindua mashua.Chelsea mwendo wa vipigo tuu