Maajabu ya Epl Yanaendelea...

Maajabu ya Epl Yanaendelea...

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Aliyeshinda goli 4 kafungwa 1 aliyeshinda goli tatu kafungwa 2.

Final result...Everton 2 Arsenal 1
Bounermouth 1 leicester 0

Kweli Epl mshindi anapatikana Mwishoni mwa Ligi kabisa.

Kuna timu kazi zao ni kuchafua CV tu daraja hawashuki wala ubingwa hawachukui ila ngoja ukutane nao lazima wakuchafulie CV tuu..

Epl never Boring.
 
Haa haaa haaa kwel epl rahaaaa kuchafuana tu cv wala hakuna kushuka daraja. Ngoja niona

Chelsea wanavochapwaaaa leoo
 
Leo kuna mkubwa mmoja ataaibishwa tena.
....stay tuned

Ningependa awe Chelsea ili atusubiri kwanza....

#YNWA#..
 
poleni arsenal ila chelsea ni moto mwingine
 
Ligi ya kuviIana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ni kama demu mkali anapokutana na lijitu ambalo halijui mgegedo.. Kuchafuana tu
 
Eti kuna watu wanasema Chelsea ni kama wanafunzi wa kike wanaosoma boarding ambapo kwa wiki wanatoka mara moja,na mara nyingi ni weekend. Eti sabababu wanayotoa ni kwa sababu Chelsea wanacheza mashindano ya ndani tu ambayo kwa kiasi kikubwa yanachezwa weekend, na ikitokea wakacheza katikati ya wiki basi inakuwa ni kama wale madent wanaoruka ukuta kwenda kwa wanaume!
 
Jumamosi
Burnely 4 sunderland 1
Livepool 1 Mancity 0

Jumatatu
Sunderland 2 livepool 2
Mancity 2 burnely 1

Wacha maajabu Ya Epl yaendelee.
 
Chelsea mwendo wa vipigo tuu
Epl ni kama pepo za kusi hazichelewi kugeuka na kupindua mashua.
Chelsea tunamtafutia Antidote yake soon tutaipata pale kwa Stoke city tulikua kwenye majaribio tu je dawa inafanya kazi tukaona dawa sio mbaya wacha tuongeze kemikali kidogo dawa itafanya kazi tuu
 
Back
Top Bottom