Maajabu ya Epl Yanaendelea...

Maajabu ya Epl Yanaendelea...

Epl ni kama pepo za kusi hazichelewi kugeuka na kupindua mashua.
Chelsea tunamtafutia Antidote yake soon tutaipata pale kwa Stoke city tulikua kwenye majaribio tu je dawa inafanya kazi tukaona dawa sio mbaya wacha tuongeze kemikali kidogo dawa itafanya kazi tuu
Naona Tiyari Dawa ishaanza kuingia polepole.
 
Wacha Epl iitwe Epl tuu..
leo hull city anakalisha mtu naye Sunderland anafufukia kwa crystal Palace.

Arsenal Watford alimwaga kifusi leo Chelsea amesawazisha kifusi
 
Back
Top Bottom