We waache tu, 2005 nilipoanza 1st yr ilikuwa hivyo, walipofika second year wengine wamepigwa sup za anatomy na biochemistry wenyewe second yr wakaanza kujibalaguza hasa mademu haka tukaanza kujipigia kama tunalia vile. We acha tu hawajapigika hawa.
Mzee nyambo ni noumaa.. Salam zake sana; but nasikia ana ratiba ya kuja huku Illinois chicago mwezi ujao lazima nimtafute
Mzee nyambo ni noumaa.. Salam zake sana; but nasikia ana ratiba ya kuja huku Illinois chicago mwezi ujao lazima nimtafute
hayo ni yako by the way karibu sana.. Ofcourse kabla ya kuwa rais alikuwa ni gavana wa hapanaona adhma yako ya kutuambia kuwa uko USA kiujanja imetimia..hongera kwa kuishi mji mmoja na prezidenti obama.
hayo ni yako by the way karibu sana.. Ofcourse kabla ya kuwa rais alikuwa ni gavana wa hapa