Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi mzumbe nao wakali wa kingereza eeeh....wengine wakomae tu.....siku si nyingi mtaaanza kutafutanaUkistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.
Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.
Yap mr nyambo yupo na bado ni head wa biochem na tumefanya CA ya kwanza leo yule mzee noma balaa
Mzee nyambo ni noumaa.. Salam zake sana; but nasikia ana ratiba ya kuja huku Illinois chicago mwezi ujao lazima nimtafute
biochem siku hizi nyororo, wamelegeza sana sana na wanaodakwa ni BSc.Nursing kwa sana na RTT, MD anayeshikwa biochem siku hizi ujue ni boya.
Hahahah kijana umenifurahisha sana what about Gross anatomY
Ngoja wafanye ca ya anatomy na wapigwe hypo wote ndo utawaona wakiwatafuta. Hao masharobaro wapo miaka yote lakini ca ndo huwa zinawasambaratisha kwani baada ya hapo hakuna anayetetea shule tena zaidi ya nafsi yake. Hivi nyambo bado ni head wa biochem? Yule dingi nilikuwa nikimuona tu mwili unatetemeka.
Ushamba huo.

mkuu umenikumbusha mbali sana.....nakumbuka mzee Thomas Nyambo alikuwa ana msemo mmoja unaoonyesha msimamo wake....''i will never let my goverment down'' akimaanisha hawezi kuacha vilaza wavuke mwaka na kwenda kuua watanzania.