Maajabu ya first year muhas

Maajabu ya first year muhas

Status
Not open for further replies.
Hujasikia wanasema kusoma ni kuelewa kukesha ni mbwembwe.Kujua kiingereza siyo kuwa na akili.Ndugu yangu My life hakikisha unaelewa unachoma basi mengineyo ni baada ya habari.
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.
hivi mzumbe nao wakali wa kingereza eeeh....wengine wakomae tu.....siku si nyingi mtaaanza kutafutana
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.

wapuuzi ndio hao eti ni madaktari wa kesho, hopeless arrogance ya madaktari inaanza mapema. sasa ndugu zangu wa kayumba kazana mwapite katika mitihani heshima itakuja yenyewe.
 
MTOA MAADA upo upande upi? au A- level 2 MuHUS upo peke yako?

ni jambo la kawaida sana kwa watu mliotoka pamoja kuendelea kufanya discussion n urafiki mkikutana next step,taratibu wanaweza kutengeneza mahusian mapya. after all this is just November kumbuka course ndio kwanzzaaaaaaaaa
kua na subira na isikutishe hiyo hali ila jitahid kupiga kitabu
 
Watatia adabu wenyewe, huko hakuna tuition kama walizozoea. Alwayz naamin kwamba wadau wa saint kayumba wako smart sana manake wamezoea "msuli pori" tena wa kuunga unga na ndio umewafikisha hapo leo. Heshima itakuja pole pole.
 
hii hali ipo kila sehem, ila ni ya mda tu miezi 2 mingi, utatuambia hapa.

mi nakumbuka kuna watu wakati tunaanza chuo walijitenga kutokana na iman fulan walikuwa km sita hiv, ME 4 KE 2,
so hawakujichanganay na makundi mengine,
imepigwa test ya kwanza Quantum Chem,
ilikuwa na 13% ya CW, wakapata 0 kundi lote, fasta kundi lilisambaratika km barafu!!!!
 
kudadek anatomy na biochemistry ishawachanganya akili..
 
Mkuu hiyo ni kawaida sana vyuoni kwa mwaka wa kwanza, ila muda, mfumo wa maisha na msoto wa kielimu ndio utavunja hayo makundi na wala hamtakumbuka tena shule zenu za sekondary mlizotoka.
 
biochem siku hizi nyororo, wamelegeza sana sana na wanaodakwa ni BSc.Nursing kwa sana na RTT, MD anayeshikwa biochem siku hizi ujue ni boya.
 
Mzee nyambo ni noumaa.. Salam zake sana; but nasikia ana ratiba ya kuja huku Illinois chicago mwezi ujao lazima nimtafute

ni mkali wa ma research ya population genetics and molecular evolution...hapana chezea!
 
biochem siku hizi nyororo, wamelegeza sana sana na wanaodakwa ni BSc.Nursing kwa sana na RTT, MD anayeshikwa biochem siku hizi ujue ni boya.

Hahahah kijana umenifurahisha sana what about Gross anatomY
 
Ngoja wafanye ca ya anatomy na wapigwe hypo wote ndo utawaona wakiwatafuta. Hao masharobaro wapo miaka yote lakini ca ndo huwa zinawasambaratisha kwani baada ya hapo hakuna anayetetea shule tena zaidi ya nafsi yake. Hivi nyambo bado ni head wa biochem? Yule dingi nilikuwa nikimuona tu mwili unatetemeka.

Duh km ulikuwepo vile alikua anatisha yeye na ntogwi nilikua nawaogopa km nn!
 
Ngoja wafanye ca ya anatomy na wapigwe hypo wote ndo utawaona wakiwatafuta. Hao masharobaro wapo miaka yote lakini ca ndo huwa zinawasambaratisha kwani baada ya hapo hakuna anayetetea shule tena zaidi ya nafsi yake. Hivi nyambo bado ni head wa biochem? Yule dingi nilikuwa nikimuona tu mwili unatetemeka.

Ha ha ha ha hah
 
mkuu umenikumbusha mbali sana.....nakumbuka mzee Thomas Nyambo alikuwa ana msemo mmoja unaoonyesha msimamo wake....''i will never let my goverment down'' akimaanisha hawezi kuacha vilaza wavuke mwaka na kwenda kuua watanzania.

Ha ha ha me like this
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.

Sasa hivi vyuoni mnaingia mkiwa under 18, kwahiyo bado kuna kausekondari fulani na utoto!!
baada ya semister ya kwanza kuisha basi akili inaweza kukaa vizuri, nakuwa kitu kimoja
 
wangekuwa na matokeo safi kuliko wengine wasingekuwa hapo wasikutishe we komaa unasifia shule wakat matokeo yako mabovu ni ujinga mchafu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom