Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
biochem siku hizi nyororo, wamelegeza sana sana na wanaodakwa ni BSc.Nursing kwa sana na RTT, MD anayeshikwa biochem siku hizi ujue ni boya.
wapuuzi ndio hao eti ni madaktari wa kesho, hopeless arrogance ya madaktari inaanza mapema. sasa ndugu zangu wa kayumba kazana mwapite katika mitihani heshima itakuja yenyewe.
Subir wamalize Biochem wataisoma namba
naona adhma yako ya kutuambia kuwa uko USA kiujanja imetimia..hongera kwa kuishi mji mmoja na prezidenti obama.
vijana hao wanhitaji test ya ghafla ili waone jinsi walivyo wazembe
lakini mbona mna tendency ya kuwachukia hawa watoto? Wametoka shule nzuri, sasa uongo uko wapi? Jangwani utailinganisha na marian? Nenda jangwani compare na marian, jamani hakuna uongo. Ila wasijitenge na wenzake.
hakua gavana,alikua seneta bana..nina waswas kama uko chicago kweli!
Ngoja wafanye ca ya anatomy na wapigwe hypo wote ndo utawaona wakiwatafuta. Hao masharobaro wapo miaka yote lakini ca ndo huwa zinawasambaratisha kwani baada ya hapo hakuna anayetetea shule tena zaidi ya nafsi yake. Hivi nyambo bado ni head wa biochem? Yule dingi nilikuwa nikimuona tu mwili unatetemeka.
nyambo siyo head wa biochem, head ni dr. teddy mselle.
vijana hao wanhitaji test ya ghafla ili waone jinsi walivyo wazembe
haaaaaaaa!! we ni ya kweli au aunatania!!! sasa kama ni kweli hao ni simple na nyie jiungeni mpige msuli muwaonyeshe kwenye test na UE...watajirudi wenyewe tuuu.....mbambavuuuu sana hawa!!!Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.
ngoja na mimi niwe prof hii njia safi sana...Well said, Mzumbe kuna mwalimu anaitwa komunte hufundisha akaunti, yeye huwa anahakikisha ndani ya wiki mbili au tatu kuna test ya kwanza na hiyo wote ni Zero au 0.5 ya 10. Hana utani anasema wote lazima muwe saw kwani ni somo ambalo kila mtu anasoma kiuanzia wa sayansi, sheria, na wengine wote, maan watu wanokuwa wamesoma akaunti A level huwa wanajifanya wanajua sasa yeye uwanyoosha wote.
Ukistaajabu ya musa utaona
ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes
kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano,
discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule
nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa
mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first
year.
Kwani wa kayumba wamekwenda wangapi? Sana sana ni kutoka kilakala, where else! Kwingine ni kuokoteza mmoja mmoja. Lakini sio vizuri kutoshirikiana na wenzao
sio kilakala 2 kuna wasichana wa ukweli toka tabora girls na msalato tena wengi tu kilakala hawazidi hata sita.