Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe na marian hawataki wa2 wa shule nyingine na ukiomba discusion utaambiwa kama hujui kingereza sepa mapema. Yan wanajiskia sana wanaona wao ndio vinara wa chuo kwa first year.
Endelezeni mbwembwe tu,mkimaliza chuo ndiyo mtatubu,serikali imeshasema haina fedha za kuwaongezea mishahara.Pia kumbukeni kuwa usome iliboru au migombani shule ya sekondari,ukija kuwa daktari unachezea vidonda vile vile tu.
Mkuu kwa uzoefu wako unamshaurije aliyemaliza f6 miaka 10 imepita anahisi ameshasahau chemistry na amabahatika kupata bpharm 2014/15,We waache tu, 2005 nilipoanza 1st yr ilikuwa hivyo, walipofika second year wengine wamepigwa sup za anatomy na biochemistry wenyewe second yr wakaanza kujibalaguza hasa mademu haka tukaanza kujipigia kama tunalia vile. We acha tu hawajapigika hawa.
Watatukuta Biochem, Anatony na Physiology. Wengi huja na mbwembwe na mwisho wao ni kilio.
Mkuu kwa uzoefu wako unamshaurije aliyemaliza f6 miaka 10 imepita anahisi ameshasahau chemistry na amabahatika kupata bpharm 2014/15,