๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

1_20241102_134305_0000.png


Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana ๐Ÿ˜Š, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi hawaijui.

Tuchukulie mko wawili alafu mnataka kuonekana kwenye picha Moja bila kutumia self kamera ๐Ÿ˜€ achana na kupiga Selfie hapa tunatumia back camera ๐Ÿคณ. Kuna feature inaitwa Add me ni feature nzuri ambayo inasaidia kuongeza watu kwenye picha bila shida yoyote.

images - 2024-11-02T132527.409.jpeg


unnamed.jpg


Yani mwenzako kakupiga picha alafu unataka hutokee na yeye mkiwa pamoja unachotakiwa ni kufanya yafuatayo ๐Ÿ‘‡
โ€ข fungua kamera ya simu yako bonyeza add

โ€ข utaweza kuona kamera yako inakupa muongozo wa ku move toka sehemu Moja kwenda nyingine

โ€ข utabonyeza kitufe cha kupiga picha baada kumaliza utamwambia mwenzako uje umpige maeneo yaleyale uliyopiga wewe

โ€ข baada ya hapo picha zenu zitaweza kuunganishwa na kuwa pamoja kama Kuna mtu mwingine aliwapiga kumbe nyinyi wewe mmepigana picha.

2_20241102_134305_0001.png


Feature hii imekuja na teknolojia ya Ai inayosaidia watu waweze kupiga picha kupitia mfumo wa Add me (+).
 
Google pixel unyama sana ila uombee usipate zile za pale aggrey wenyewe wanaziita chapati za dubai,utalia
 
Bwana wewe kila moja apambane na hali yake miliki iphone yako pixel yako na mimi nitambe na ITEL Yangu
 
Bwana wewe kila moja apambane na hali yake miliki iphone yako pixel yako na mimi nitambe na ITEL Yangu
 
Back
Top Bottom