๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น
View attachment 3141524

Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana ๐Ÿ˜Š, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi hawaijui.

Tuchukulie mko wawili alafu mnataka kuonekana kwenye picha Moja bila kutumia self kamera ๐Ÿ˜€ achana na kupiga Selfie hapa tunatumia back camera ๐Ÿคณ. Kuna feature inaitwa Add me ni feature nzuri ambayo inasaidia kuongeza watu kwenye picha bila shida yoyote.

View attachment 3141525

View attachment 3141526

Yani mwenzako kakupiga picha alafu unataka hutokee na yeye mkiwa pamoja unachotakiwa ni kufanya yafuatayo ๐Ÿ‘‡
โ€ข fungua kamera ya simu yako bonyeza add

โ€ข utaweza kuona kamera yako inakupa muongozo wa ku move toka sehemu Moja kwenda nyingine

โ€ข utabonyeza kitufe cha kupiga picha baada kumaliza utamwambia mwenzako uje umpige maeneo yaleyale uliyopiga wewe

โ€ข baada ya hapo picha zenu zitaweza kuunganishwa na kuwa pamoja kama Kuna mtu mwingine aliwapiga kumbe nyinyi wewe mmepigana picha.

View attachment 3141527

Feature hii imekuja na teknolojia ya Ai inayosaidia watu waweze kupiga picha kupitia mfumo wa Add me (+).
 
Likalkuleta la google pixel

Simu ni iphone tu

Msidanganywe
 
Ko pale kwenye lile jabali kule chamwino ambako marehemu pombe makuful alipiga picha kajilaza kama mjusi naweza na mimi nikaenda kupiga picha kisha nikaziunganisha then napost mtandaoni na caption "Guess who is back"?
 
Back
Top Bottom