Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ ๐ฎ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ ๐๐ผ๐ผ๐ด๐น๐ฒ ๐ฝ๐ถ๐
๐ฒ๐น
View attachment 3141524
Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana ๐, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi hawaijui.
Tuchukulie mko wawili alafu mnataka kuonekana kwenye picha Moja bila kutumia self kamera ๐ achana na kupiga Selfie hapa tunatumia back camera ๐คณ. Kuna feature inaitwa Add me ni feature nzuri ambayo inasaidia kuongeza watu kwenye picha bila shida yoyote.
View attachment 3141525
View attachment 3141526
Yani mwenzako kakupiga picha alafu unataka hutokee na yeye mkiwa pamoja unachotakiwa ni kufanya yafuatayo ๐
โข fungua kamera ya simu yako bonyeza add
โข utaweza kuona kamera yako inakupa muongozo wa ku move toka sehemu Moja kwenda nyingine
โข utabonyeza kitufe cha kupiga picha baada kumaliza utamwambia mwenzako uje umpige maeneo yaleyale uliyopiga wewe
โข baada ya hapo picha zenu zitaweza kuunganishwa na kuwa pamoja kama Kuna mtu mwingine aliwapiga kumbe nyinyi wewe mmepigana picha.
View attachment 3141527
Feature hii imekuja na teknolojia ya Ai inayosaidia watu waweze kupiga picha kupitia mfumo wa Add me (+).