Maajabu ya Grisi (grease) (Hidden World)

Habari ya leo tena wana jf

Kumbuka mimi sifundishi uchawi wala ulozi wala sifanyi mtu amkufuru Mungu ukiona ndani ya nafsi yako unapata ukakasi juu ya elimu hizi na imani yako
Ni vyema ukajitenga kabisa na mada kama hizi, maana naamini kuna wengine wanahitaji kupata ufahamu tu hata pasipo kuyafanya

Haya sasa naenda katika mada husika

hapa siongelei grisi ile fundi maiko anaitumia kuweka katika magari kulainisha vyuma na kuzuia kusagana hapana hapana hapana..
Nanyoosha vidole kidogo....
Haya naendelea.

Kuna aina fulani ya mafuta hupatikana katika mwili wa mnyama, hapa ni wale wanyama tunaokula kabisaaaa,
Kumbuka wana aina mbalimbali za mafuta nk.

Sasa kuna mafuta huchukuliwa yanakaa sehemu fulani ndani ya mnyama(Sitaongea kwasasa)

Ukishayapata hayo mafuta
Basi nenda kanunue pea mpya kabisa ya viatu hata ikiwa ni sendal sawa ila vyema vle vyakufunga kabisaaa..
nenda zile sehemu za mkusanyiko unaokaa ndani.

Mfano
Shuleni kanisani msikitini nk
paka mafuta katika viatu vyako kisha ingia ndani ya hilo jengo

Mkisha maliza taratibu zenu zakila siku hapo kama ibada masomo nk
Mnapotoka nje wewe usitoke nje bakia hapohapo umekaa jisikilizie uone maajabu ya mwaka
...
Usiogope hauna hatari wala ubaya
..
Watatoka watu wote ila utajikuta umebakia na watu fulani humo ndani wamekaa au wamesimama ama wanazungukazunguka tu,
He he he he he
ukiwaona hao jua ni michawi hiyo inayokaba watu na kuwapa shida usiku nk
Yaani hapo hata angekuwa mchawi wa kwanza duniani kote ili mradi ni mwanadamu basi hawezi kutoka nje
Yaani hawataona mlango hata kidogo
utawaona utawahurumia wanavyohangaika

sasa ili upate uhakika kama kweli jeni wachawi au ni propaganda tu?
Ukisimama na kuanza kutoka nje wote watakuja nyuma yako maana wao watakuona wewe unaijua njia yakutokea
basi wanakuja nyuma yako mda huohuo wanakufuta wanaogopa usijeondoka na wakabakia eneo wasilolijua
hawana kukuuliza wala hawajui kama niwewe umefanya

Basi ukitoka tu nje ndio wataona mlango
nakuambia kesho ama siku nyingine umewapa mtihani sana watakuwa waoga kuingia kabisa humo ndani

sasa usije jaribu kuvua viatu na kuviacha humo humo nawewe ukatoka
ha ha ha ha ha
umeleta balaa ndugu usije fanya hayo

Haya Mapambano Mema Juu Ya Corona

Hapa sio uchawi wala ulozi wala hakuna unalomkosea Mungu ni mambo yakawaida kama wale mnaoweka mikaa kwenye droo zenu za hela au mitulatula kuzuia chuma ulete nk
ukona yanakusumbua na Imani yako ni vyema kuahcna kabisa na maandiko yangu

Over!
Mafuta yenye maajabu ni KY tu mengine sanaa tu

Niga from Timbuktu
 
Je ukienda pale soko la kkoo si watabaki robo tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo....Sidhani ....kama kuna ukweli kumnasa mchawi panaitajika ...Elimu kubwa ya uloz...nawala sio simple kama unavyojitanabaisha.....Muuza kahawa Tupe yule mluke.
nikweli usemalo
Ila kumbuka hapa hatutumii uchawi hapa nikucheza na nature kujua udhaifu wa kitu au mtu fulani,
Mfano ukichukua mate ya mbwa ukajipaka katika paji la uso utaweza ona wachawi
kuzuia nikwenda kunawa tu

kwahiyo sio kumnasa mchawi hapa wewe ndio utawajua maana hawataiona njia
but all in all sio lazima ukubali hili
 
Mshana Jr njooo huku tunalishwa tango poriii
Ha ha ha ha ha
Akili na mwisho wa ukomo na kujua una zigo la ujinga nipale unaaamini hauwez pata maarifa na msaada mahali pengine popote
 
Habari ya leo tena wana jf

Kumbuka mimi sifundishi uchawi wala ulozi wala sifanyi mtu amkufuru Mungu ukiona ndani ya nafsi yako unapata ukakasi juu ya elimu hizi na imani yako
Ni vyema ukajitenga kabisa na mada kama hizi, maana naamini kuna wengine wanahitaji kupata ufahamu tu hata pasipo kuyafanya

Haya sasa naenda katika mada husika

hapa siongelei grisi ile fundi maiko anaitumia kuweka katika magari kulainisha vyuma na kuzuia kusagana hapana hapana hapana..
Nanyoosha vidole kidogo....
Haya naendelea.

Kuna aina fulani ya mafuta hupatikana katika mwili wa mnyama, hapa ni wale wanyama tunaokula kabisaaaa,
Kumbuka wana aina mbalimbali za mafuta nk.

Sasa kuna mafuta huchukuliwa yanakaa sehemu fulani ndani ya mnyama(Sitaongea kwasasa)

Ukishayapata hayo mafuta
Basi nenda kanunue pea mpya kabisa ya viatu hata ikiwa ni sendal sawa ila vyema vle vyakufunga kabisaaa..
nenda zile sehemu za mkusanyiko unaokaa ndani.

Mfano
Shuleni kanisani msikitini nk
paka mafuta katika viatu vyako kisha ingia ndani ya hilo jengo

Mkisha maliza taratibu zenu zakila siku hapo kama ibada masomo nk
Mnapotoka nje wewe usitoke nje bakia hapohapo umekaa jisikilizie uone maajabu ya mwaka
...
Usiogope hauna hatari wala ubaya
..
Watatoka watu wote ila utajikuta umebakia na watu fulani humo ndani wamekaa au wamesimama ama wanazungukazunguka tu,
He he he he he
ukiwaona hao jua ni michawi hiyo inayokaba watu na kuwapa shida usiku nk
Yaani hapo hata angekuwa mchawi wa kwanza duniani kote ili mradi ni mwanadamu basi hawezi kutoka nje
Yaani hawataona mlango hata kidogo
utawaona utawahurumia wanavyohangaika

sasa ili upate uhakika kama kweli jeni wachawi au ni propaganda tu?
Ukisimama na kuanza kutoka nje wote watakuja nyuma yako maana wao watakuona wewe unaijua njia yakutokea
basi wanakuja nyuma yako mda huohuo wanakufuta wanaogopa usijeondoka na wakabakia eneo wasilolijua
hawana kukuuliza wala hawajui kama niwewe umefanya

Basi ukitoka tu nje ndio wataona mlango
nakuambia kesho ama siku nyingine umewapa mtihani sana watakuwa waoga kuingia kabisa humo ndani

sasa usije jaribu kuvua viatu na kuviacha humo humo nawewe ukatoka
ha ha ha ha ha
umeleta balaa ndugu usije fanya hayo

Haya Mapambano Mema Juu Ya Corona

Hapa sio uchawi wala ulozi wala hakuna unalomkosea Mungu ni mambo yakawaida kama wale mnaoweka mikaa kwenye droo zenu za hela au mitulatula kuzuia chuma ulete nk
ukona yanakusumbua na Imani yako ni vyema kuahcna kabisa na maandiko yangu

Over!
Mafuta??? Me najua ukichukua tongotongo za mbwa ukajipaka usoni wachawi unawaonaa!
 
Kuhusu kuona wachawi nitofauti na mada yangu hapo juu lakini ukichukua pia mate ya mbwa ukajipa katika paji la uso basi utayoyaona uwe na roho ngumu
 
Acha kusumbua watu, wewe na sisi tunatumia mafuta ya simba sasa mbona hausemi wazi.
 
ha ha ha nikweli ndugu ila kumbuka mambo hayo nitofauti kutokana na tamaduni na asili za watu husika wengine wanazikia sanda wengine wanaziki majeneza wengine wanatumia ngozi.
Kwahiyo kutumia kwako ngozi haina maana wa sanda anakosea wewe elezea lile unalolijua baasi inakuwa ni vyema zaidi unakuwa unasaidia wengine kwa uzuri
 
Back
Top Bottom