Maajabu ya Israel - Dead Sea (Bahari iliyokufa)

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
1000133999.jpg

Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza.

Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe.

Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari Iliyokufa. Hii bahari haina kiumbe hai ndani yake. Huwezi kupata samaki na viumbe hai vingine. Ni bahari yenye chumvi nyingi Sana. Ni outlet ya mto Jordan.

Maji ya dead Sea ni tofauti na maji mengine. Ukiogelea dead Sea huwezi kuzama hata kama hujui Kuogelea. We we unaelea tu na unaweza kusoma Gazette upo juu ya maji. Sijui Kisayansi Ina maana gani.

Sio Hilo tu hata tope linalopatikana dead Sea ni dawa ya magonjwa ya ngozi.

Dead Sea ni kivutio kikubwa cha utalii Israel.
 
Nchi yako ina kila maajabu ila unasifia bahari iliyokufa huoni kuna shida hapo kufa? Bird mummies of Lake Natron huoni maajabu yake. Kila sehemu ni tofauti na sehemu zingine ila Israel haina maajabu mengi kuliko hata mkoa wako hapo
 
Nchi Ina laana mpaka bahari inakufa!

Wakiondoka hao mazayuni uhai utarejea!
Ingekuwa Mji wa Mecca namna ambavyo ingekolezewa munyu na wafuasi wa Mo kupita kiwango cha kibinadamu

Leo hii, habari hii ya bahari iliyokufa ndio leo umeisikia licha kwamba imekuwepo hapo Israel karine na karine, na ukweli ni kwamba, haya ni maajabu kweli maana hakuna kitu kama hiyo duniani pote
 
Nchi yako ina kila maajabu ila unasifia bahari iliyokufa huoni kuna shida hapo kufa?
Bird mummies of Lake Natron huoni maajabu yake
Kila sehemu ni tofauti na sehemu zingine ila Israel haina maajabu mengi kuliko hata mkoa wako hapo
Na ww andika MAAJABU ya nchi Yako kama kukimbiza moto....
 
Watu wanasifia hata ujinga. Yaani maji kutokuwa na viumbe hai umeona dili? Bora hiyo ya kusema maji yanaweza tibu magonjwa
 
Kwa hiyo wewe Israeli ndio nchi yako? Upo mji gani ndugu?
Mkuu upo kwenye platform ya international , hisia zimezid akil , chuki zimefunika ufaham wako , UKITAKA kusoma mambo ya Tz nenda kweny platform sahihi

Jf imevamiwa na wajinga siku hz , hisia nying akil kdg
 
Ikiwa Misri waliweza kutengeneza Suez canal, wao Israel na teknolojia yao kubwa waliyonayo wanashindwaje kuyatibu hayo maji yakawa hai na kufuga samaki? Kama vipi wayatoe hayo maji yote yaliyokufa waingize maji hai. Mbele ya sayansi na teknolojia mengi yanawezekana
 
Suez canal ilitengenezwa na UINGEREZA (1859 -1869)
 
Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza.

Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe.

Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari Iliyokufa. Hii bahari haina kiumbe hai ndani yake. Huwezi kupata samaki na viumbe hai vingine. Ni bahari yenye chumvi nyingi Sana. Ni outlet ya mto Jordan.

Maji ya dead Sea ni tofauti na maji mengine. Ukiogelea dead Sea huwezi kuzama hata kama hujui Kuogelea. We we unaelea tu na unaweza kusoma Gazette upo juu ya maji. Sijui Kisayansi Ina maana gani.

Sio Hilo tu hata tope linalopatikana dead Sea ni dawa ya magonjwa ya ngozi.

Dead Sea ni kivutio kikubwa cha utalii Israel.
Sasa bahari kutokuwa na kiumbe nacho ni cha kusifia.
Wafia dini kama ww mnatakiwa mchinjwe tu
 
Ingekuwa Mji wa Mecca namna ambavyo ingekolezewa munyu na wafuasi wa Mo kupita kiwango cha kibinadamu

Leo hii, habari hii ya bahari iliyokufa ndio leo umeisikia licha kwamba imekuwepo hapo Israel karine na karine, na ukweli ni kwamba, haya ni maajabu kweli maana hakuna kitu kama hiyo duniani pote
Sodoma na Gomora
 
Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza.

Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe.

Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari Iliyokufa. Hii bahari haina kiumbe hai ndani yake. Huwezi kupata samaki na viumbe hai vingine. Ni bahari yenye chumvi nyingi Sana. Ni outlet ya mto Jordan.

Maji ya dead Sea ni tofauti na maji mengine. Ukiogelea dead Sea huwezi kuzama hata kama hujui Kuogelea. We we unaelea tu na unaweza kusoma Gazette upo juu ya maji. Sijui Kisayansi Ina maana gani.

Sio Hilo tu hata tope linalopatikana dead Sea ni dawa ya magonjwa ya ngozi.

Dead Sea ni kivutio kikubwa cha utalii Israel.
Umesahau pia ni nchi iliyoanzishwa 1948 lakini ina miaka 3000
 
Back
Top Bottom