Maajabu ya Israel - Dead Sea (Bahari iliyokufa)

Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza.

Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe.

Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari Iliyokufa. Hii bahari haina kiumbe hai ndani yake. Huwezi kupata samaki na viumbe hai vingine. Ni bahari yenye chumvi nyingi Sana. Ni outlet ya mto Jordan.

Maji ya dead Sea ni tofauti na maji mengine. Ukiogelea dead Sea huwezi kuzama hata kama hujui Kuogelea. We we unaelea tu na unaweza kusoma Gazette upo juu ya maji. Sijui Kisayansi Ina maana gani.

Sio Hilo tu hata tope linalopatikana dead Sea ni dawa ya magonjwa ya ngozi.

Dead Sea ni kivutio kikubwa cha utalii Israel.
Inamaana maji ya mto Jordan nayo ni chumvi kwa wingi? Au me ndo sijaelewa unaposema ni outlet ya mto Jordan
 
Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza.

Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe.

Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari Iliyokufa. Hii bahari haina kiumbe hai ndani yake. Huwezi kupata samaki na viumbe hai vingine. Ni bahari yenye chumvi nyingi Sana. Ni outlet ya mto Jordan.

Maji ya dead Sea ni tofauti na maji mengine. Ukiogelea dead Sea huwezi kuzama hata kama hujui Kuogelea. We we unaelea tu na unaweza kusoma Gazette upo juu ya maji. Sijui Kisayansi Ina maana gani.

Sio Hilo tu hata tope linalopatikana dead Sea ni dawa ya magonjwa ya ngozi.

Dead Sea ni kivutio kikubwa cha utalii Israel.
Au hii ndio pale Jesus of Nazareth alikatiza live akitembea?
 
Back
Top Bottom