kule kupanda daladala tumening'inia kaa komba juu ya mgomba,Hata tushindie mihogo
Hata tule tembele km mbuzi
Hata yaje mafuriko....haturudi kijijini !!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dar cha bure salamu tu tena isiwe ya kushikana mikono utaambulia kipindu pindu[emoji125]Kweli mkuu...tatizo hela haikai sana mfukoni si unajua kila kitu lazima ununue hadi mbilimbi !!!!
Hapo usiombe mvua inyeshe hatari tupuuuHas a Uswaz full kipindupindu....inabidi urushe salami km jiwe vile
Hahahaha umempa jibu sahihiKm ni makaratasi basi tumia kuwashia moto....
Hahahaha nimecheka sanaaDar cha bure salamu tu tena isiwe ya kushikana mikono utaambulia kipindu pindu[emoji125]
Kweli mkuu....ni kama kuna maziwa zaidi ya yale ya ng'ombe.....Km uchawi vile
Wale wavuja jasho wanaishia kupata hela ya ubwabwa...Joto City ni full mazingaombwe...watu hawajishughulishi lakini wana mkwanja mrefu!!