Maajabu ya Joto City!

Maajabu ya Joto City!

Hata tushindie mihogo
Hata tule tembele km mbuzi
Hata yaje mafuriko....haturudi kijijini !!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kule kupanda daladala tumening'inia kaa komba juu ya mgomba,
kule kugombea daldadal ndo utamu unazidi leave alone mvua ikinyesha njia zote hazipitiki. lakin bado tutabanana hapa hapa
 
Kweli mkuu...tatizo hela haikai sana mfukoni si unajua kila kitu lazima ununue hadi mbilimbi !!!!
Dar cha bure salamu tu tena isiwe ya kushikana mikono utaambulia kipindu pindu[emoji125]
 
Raha ya mwanamke awe Na sha nga,ikiwa hana unaweza hisi kama unamla shoga,hii ndio dar..
Nalog off
 
Watu wanacheza singeli kuliko nyimbo za dini. ..asee kweli dsm mnaiweza wenyewe
 
Dar es salaam ng'ombe hawaonekani lakini maziwa ni mengi kuliko hata maji....

Km uchawi vile
159ceab097f9f19df253fafa33884922.jpg
 
Back
Top Bottom