Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni:

View attachment 1964754

Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM.

Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90.

Kazi kweli kweli.
Mkuu umesahau kwamba ni mdogo wake JK? Ulitegemea asemeje?
 
Mkuu umesahau kwamba ni mdogo wake JK? Ulitegemea asemeje?

Kauli mbinu: "kazi na bata" haihusiani na mtu mkuu. Hiyo ni self made 😁😁.

Au nasema uongo ndugu yangu morphine?
 
Nyalali commision inasema waliotaka mfumo wa vyama vingi ni wachache na katika kuwapumbaza wazungu ikabidi tuurudishe mfumo, swali ni akina nani walioanzisha vyama vingi ndilo la kujiuliza na ukipata jibu hautasumbuka na siasa.
 
Uzoefu unaonyesha mijizi ikipigiwa ukelele wa mwizi nayo hupiga ukelele kama huo kuwapoteza pursuers, maboya.

Amini nakwambia kuna mijamaa ikisikia yamekwisha stukiwa, macho huyatoka mithili ya mjusi aliyebanwa kwenye mlango.

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…