- Thread starter
- #21
naipenda sana ile kauli mbiu yake enzi za mjomba yuko madarakani.
Maisha mafupi. Hayawezi kuwa hivi:
Prof Assad anasema huu ni uzuzu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naipenda sana ile kauli mbiu yake enzi za mjomba yuko madarakani.
Mkuu umesahau kwamba ni mdogo wake JK? Ulitegemea asemeje?Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni:
View attachment 1964754
Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM.
Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90.
Kazi kweli kweli.
Ndiyo hapo anakula bataKauli mbinu: "kazi na bata" haihusiani na mtu mkuu. Hiyo ni self made 😁😁.
Nyalali commision inasema waliotaka mfumo wa vyama vingi ni wachache na katika kuwapumbaza wazungu ikabidi tuurudishe mfumo, swali ni akina nani walioanzisha vyama vingi ndilo la kujiuliza na ukipata jibu hautasumbuka na siasa.
Dakika ya 89 ushindi? Vilaza hawakuelewanaipenda sana ile kauli mbiu yake enzi za mjomba yuko madarakani.