Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
View attachment 82960

huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia

attachment.php
 
ukweli ni kwamba KIU ni kimeo,wote wengi wanaosoma pale ni magharasa.kuna jamaa yangu yupo kozi pale ya conflict resolution and peace building,yeye yupo full time, lakini muda mwingi yupo South Afrika Kikazi na akirudi anawekewa paper yake na anachana,nilimshauri kama anatafuta elimu,bora hata aende Tumaini.
 
Oo hell no.
Hiki chuo si ndio wanafunzi waliandamana kisa hakuna wahadhiri?
 
Udhalilishaji wa chuo cha wenyewe...hata kama ni feki not to that extent!...goosh!..
Maswali hayo ni darasa la vidudu liitwalo Pre-Unit!
 
Duuuuuuuuuuuuuu si vitu vya kudharau hivi inawezekana kweli
 
Duuuuuuuuuuuuuu si vitu vya kudharau hivi inawezekana kweli
Haiwezekani hata kidogo. Kuna ushahidi mwingi sana hapo kuonesha kuwa huo ni uongo. Si vizuri kuwadhalilisha watu kiasi hiki.
 
Kama ni kweli, hawa watu wameifhalilisha professional yangu, sirudi tena hapa janvini
 
Udhalilishaji wa chuo cha wenyewe...hata kama ni feki not to that extent!...goosh!..
Maswali hayo ni darasa la vidudu liitwalo Pre-Unit!

Ni kweli huyu anataka kuwachafua. Hawawezi kuwa hovyo kiasi hicho. Nadhani muda mwingine tuwe wakweli kidogo pamoja na kuwa hatujuani humu, lakini kuweka heshima ya ukumbi huu tuandikage story inayofanana na ukweli!
 
small and big computer halafu mtu anapewa 8/10 mmmmh! Halafu majibu yako shallow mtu anakula 34/40 nadhani hata sinnon college wanaweza wakawa juu sana...
 
Ukisharuhusu vyuo iwe biashara kama biashara nyingine tegemea ujinga kama huu. Enzi hizi hamna kula vichwa tena. .. yaani wanafunzi wote wanaanza na kumaliza tofauti na enzi zile mnaanza 80 mnamaliza 12..
 
Back
Top Bottom