Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

Mhhhhhh kama ni kweli basi kuna shughuli pevu hapo chuoni!!!!!!!!!!
 
46708_577183662311663_1397882358_n.jpg
Madhara ya MABOMU (BOOOM BOOOM za GONGOLAMBOTO) bado yanasumbua bongo za wahadhiri.
 
View attachment 82960

huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia

attachment.php
Acha kuwazushia bwana!!! kuna chuo kinaweza kutunga mtihani wa namna hiyo? Halafu na majibu ya 3rd yearer ndiyo yanakuwa kama hayo?
 
Hii si kweli naona kuna mtu anataka kuwaharibia tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hicho chuo kimejaa uhuni mtupu,nakifahamu! nawashauri wanafunzi wake waje hapa kwangu wawe wananisaidia kazi za ndani,maana wanapoteza muda na pesa!
 
Hilo swali la map inawezekana kuulizwa iwapo huo ni mtihani wa computer in geoscience.
 
Usituchekeshe ndugu yetu! Inawezekana kiu wakawa na mazaifu lakini si kiasi hicho!
 
Mtihani tumeuona lakini vipi kuhusu namna elimu inavyotolewa?,vipi kuhusu mitihani ya kozi nyingine mbona hujatuwekea hapo tuione?. Computer science kwa navyoelewa mimi iko kivitendo zaidi,mbona hilo hujalizungumzia?. Nadhani hicho ulichoweka hapo hakijatosha kuniaminisha kwamba hicho chuo ni feki.
 
Sitaki kuamini kama kweli huu ni mtihani wa kiu,
kwanza hauna kiwango, pili hayo majibu ya mwanafunzi na marks alizopewa ni utata m2pu, huyo lecture ni mbululula,
 
Kama mambo yako hv! Basi taifa hili laelekea kuzimu, maana hawa ndo watakaopewa majukumu makubwa kwa vile nchi hii "hu_base" ktk vyeti hasa GPA. Kwa hali hii huyu automatically atakuwa na 1st GPA. Tatzo wakulu wa nchi hii husubir mambo hadi yachache ndo waanze kuhangaika kutafuta suluhu. Shame on them.
 
mimi siamini!!!! hata kama chuo ni kibovu hakiwezi kua kiasi hiki.......mwaka wa tatu???? finalist!!! then what is map????YOU CAN FOOL SOME PEOPLE ALL THE TIME BUT U CAN NEVER FOOL ALL PEOPLE ALL THE TIME.... napita....
 
This is a joke of the year. Kampala university wamechomekewa na mbaya wao
 
Back
Top Bottom