Haiwezekani hata kidogo. Kuna ushahidi mwingi sana hapo kuonesha kuwa huo ni uongo. Si vizuri kuwadhalilisha watu kiasi hiki.Duuuuuuuuuuuuuu si vitu vya kudharau hivi inawezekana kweli
Udhalilishaji wa chuo cha wenyewe...hata kama ni feki not to that extent!...goosh!..
Maswali hayo ni darasa la vidudu liitwalo Pre-Unit!