Ngekewa, hivi ndivyo nchi yetu inavyojifia ki kimyakimyaNdiyo yanayomuuza Mbatia hayo!
Madhara ya MABOMU (BOOOM BOOOM za GONGOLAMBOTO) bado yanasumbua bongo za wahadhiri.
Acha kuwazushia bwana!!! kuna chuo kinaweza kutunga mtihani wa namna hiyo? Halafu na majibu ya 3rd yearer ndiyo yanakuwa kama hayo?View attachment 82960
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia
MkuuBujibuji, inshalla tutafika kwani hatukuwa hapa pa lep. Hebu jaribu kukumbuka miaka mitano tu nyuma!Ngekewa, hivi ndivyo nchi yetu inavyojifia ki kimyakimya
Wakuu hivi kweli mmeamini hii ni kweli ?, Hata swali la what is a map ? kwenye computer science halikuwashtua kwamba huu ni utani ?